Wiki tano sijaona status updates Ajira Portal

Wiki tano sijaona status updates Ajira Portal

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
160
Reaction score
280
Wakuu toka nimeApply kazi ajira portal hadi sasa ni mwezi toka deadline ya kuomba kazi. kumbuka hii ni mara yangu ya kwanza kuApply kazi za government.

Lakini ukiangalia kwenye hiyo attachment, nilikosea anwani, ikawa rejected, lakini nyingie hadi sasa sijaona status update yoyote.

Swali langu, ni kweli status inaweza ikabaki bila either "Not shortlisted/shortlisted"? au bado ipo kwenye process niendelee kusubiri? naomba kujuzwa

Screenshot (102).png
 
Back
Top Bottom