Status za wanawake/wadada whatsapp ni michambo mitupu

Status za wanawake/wadada whatsapp ni michambo mitupu

Status zangu nyingi kama hujaenda thkonga lazima utafute interpreter

Na nyingi ni maalum kwa masnitch+bit.chas madafaka!!!

Recently inasomeka:
...either you huddle or yo out the huddle,either you ridin or we pass flyin by sayin' f*ck u!
 
Dah! si mimi.

  • Ningekuwa ndege kuna watu kila siku ningewanyea KICHWANI.
  • moyo wangu umepoa hauna papara kila jambo majaaliwa SUBIRA HAINA HASARA
  • ukinifanya waakiba, mimi nakufanya wadharura
  • Nina utamu wa kuku naliwa hadi mifupa, utajiju mwenye utamu wa samaki unaliwa miiba inatupwa
Nimenukuu tyuuu.
 
Labda kama ni hawa tu wa kwangu aiseeeee!!

Nina wanawake/wadada kadhaa kwenye phonebook yangu whatsapp, kiboko ni hayo maneno yao ya kwenye status zao, loh ni michambo na mipasho kwa kwenda mbele.......yaani nasomaga nacheka mwenyewe tu kimoyo moyo, khaa! manake utafikiri sasa ni yale maneno ya kwenye khanga yamehamia kwenye status za watu!

Najiuliza, hivi maana yake nini?? kama haters si unamblock tu au?

Pia najiuliza, ni hawa wangu tu ndo naona status za dizaini hii?
Ila Silaha ya Uzinzi ni kujihanithi tu ndugu yangu. Kama hawa wameshindwa ndiyo tuwe sie Ref: Bofya. TAFAKARI
 
......Na umalaya utakuua!
.....kulala naye si kazi, kazi kujua kucheza nae.
.....tamba na hao vigor wenzako mie somo yako
hiz status za mke mwenza!!
 
......Na umalaya utakuua!
.....kulala naye si kazi, kazi kujua kucheza nae.
.....tamba na hao vigor wenzako mie somo yako
hiz status za mke mwenza!!

Nahis namba ya huyu mtu ninayo..Alafu anafanya shirika kubwa tu...Yaan anashangaza duu.
 
Hahahaha kuna kamchuchu kamoja kalinizawadia tunda... kesho yake status ikasomeka "Jiandae na kulea baba kijacho"

Nusura nizimie.... Najiandaa kutandikwa mwiko na bibi yenu kichanga kitakapoletwa home....

Ee shetani ingilia kati isitokee..

Daahhh.nimecheka sana kweli jf raha
 
Back
Top Bottom