Status za wanawake/wadada whatsapp ni michambo mitupu

Status za wanawake/wadada whatsapp ni michambo mitupu

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,811
Reaction score
11,028
Labda kama ni hawa tu wa kwangu aisee! Nina wanawake/wadada kadhaa kwenye phonebook yangu whatsapp, kiboko ni hayo maneno yao ya kwenye status zao, loh ni michambo na mipasho kwa kwenda mbele.

Yaani nasomaga nacheka mwenyewe tu kimoyo moyo, khaa! manake utafikiri sasa ni yale maneno ya kwenye khanga yamehamia kwenye status za watu! Najiuliza, hivi maana yake nini? Kama haters si unamblock tu au?

Pia najiuliza ni hawa wangu tu ndo naona status za dizaini hii?
 
Siyo wako tu mkuu wote hata mie ninao wa hivyo.Mtu anaandika status eti "KILIA KICHWA UONE UMUHIMU WA TAKO"
 
6312dd3ec6a412284a06544455f2acb7.jpg
 
Dah!!! Usemalo kweli afu wote kwenye status zao wanaishi maisha ya hali ya juu na hakuna maskini
 
Stress zinawasumbua kwahyo wanafikiri kuandika hivo wamefikisha ujumbe kumbe wanajitesa wenyewe.

Hahahaha kuna kamchuchu kamoja kalinizawadia tunda... kesho yake status ikasomeka "Jiandae na kulea baba kijacho"

Nusura nizimie.... Najiandaa kutandikwa mwiko na bibi yenu kichanga kitakapoletwa home....

Ee shetani ingilia kati isitokee..
 
Hahahah umenifanya nikazipitie nimecheka
Eti mjini ni shule ila ucje na madaftari 😂
 
Back
Top Bottom