Status za wanawake/wadada whatsapp ni michambo mitupu

Hahahaha kuna kamchuchu kamoja kalinizawadia tunda... kesho yake status ikasomeka "Jiandae na kulea baba kijacho"

Nusura nizimie.... Najiandaa kutandikwa mwiko na bibi yenu kichanga kitakapoletwa home....

Ee shetani ingilia kati isitokee..

Hahaaa na alikuweza kweli kufikisha ujumbe aliokusudia.
 
Hahahaha kuna kamchuchu kamoja kalinizawadia tunda... kesho yake status ikasomeka "Jiandae na kulea baba kijacho"

Nusura nizimie.... Najiandaa kutandikwa mwiko na bibi yenu kichanga kitakapoletwa home....

Ee shetani ingilia kati isitokee..

ahahahaa!!tena ikiwezekana akupige na mwiko wenye ugali wa moto!!!
 
Yangu nimeandika....."yangu tangaza yako kalia uote mkia"

Hahahah yani nyie bhana.... mshkaji alikuta status ya mkewe inasomeka "Nisamehe mme wangu, shetani alinipitia"

Akaskuti hajagombana na mkewe kitambo, hajakosewa na mkewe kitambo....

Akaunganisha dots shetani akiwapitia watu huwa wanafanyaje.... machale yakamcheza.... Akafanya maamuzi magumu. Ulivyo mbea utaniuliza kilichotokea ni nini
 
Hahahaaaa huo ubuyuu jamani kama vile nimelogewa..
Enheeeeee ikawajee...
Ebu agiza pepsi apo nakuja kulipa
 
Yani kwa hili labda uniahidi rushwa ya ngono hakyamama...
 
Ngono umepataa mie tenaaa ninavyopenda umbeaa...eheeee sema unataka vingapi?

Khee.... kwa umri huu cha tatu linatoka povu... tatizo cha kwanza masaa manne... inahitaji uvumilivu.

Ngoja nifuatilie status yako isije ikawa ushanipiga kibomu
 
Hahahaaa saivi nimeweka "some pple ar liv b coz its illegal to kill em"
 
Cjui wamgu wasomi sana, naona wana status nzuri tu za kupendeza

how comes mkuu???

hebu wote waliko kwenye phonebook yako ya kawaida jaribu kuwaweka whatsapp, kisha pitia status zao ndo utaamini nachosema
 
Back
Top Bottom