status..facebook....

status..facebook....

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,716
USIFIKIRI KUOLEWA NI KUPENDWA WENGINE WANAKIMBIA KULA KWA MAMANTILE,KUFUA NGUO WENYEWE NA WENGINE WANATAFUTA WASAIDIZI WA KAZI ZA NYUMBANI...... SO KUWA MAKINI USIKIMBILIE NDOA...

mna kazi mlioolewa.....!
 
so mi sijaelewa hapa 'kichwa cha habari' na habari mbona naona haviendani!!! chondechonde
 
nitaolewa,iwapo nitampangia huyo mume siku za kutoa uroda,atajifulia nguo zake na kupiga pasi,kupika tutapika kwa zamu,,,nikisema namtafuta mume wa hivi,....naona mnaingia mitini hahahah lol
Hapo utazeeka bila ya kumpata mume mwenye sifa za hivyo, au tegemea kupata wasaidizi hasa kwenye suala la uroda.
 
Hapo utazeeka bila ya kumpata mume mwenye sifa za hivyo, au tegemea kupata wasaidizi hasa kwenye suala la uroda.

wanaume wengi mnapenda umwinyi eeh,mmeoa wake zenu kwa sababu mnawapenda au wawe vijakazi vyenu?lol kama mtu unampenda hutamtumikisha....
 
I rarely do laundry or cook, and am still in a marriage of over ten years! so kama ndoa ni kufua na kupika,mmmmh!Merry Christmas JF members!
 
Back
Top Bottom