status..facebook....

I rarely do laundry or cook, and am still in a marriage of over ten years! so kama ndoa ni kufua na kupika,mmmmh!Merry Christmas JF members!

hongera sana, you are luckiest in the world,mumeo hana wadogo wa kiume?lol
 
wanaume wengi mnapenda umwinyi eeh,mmeoa wake zenu kwa sababu mnawapenda au wawe vijakazi vyenu?lol kama mtu unampenda hutamtumikisha....

Nadhani umesahau maandiko ya mwenyezi mungu kuhusu majuku ya mwanamke
 
Mambo ya ndoa ni makubaliano ya watu wawili, kwa hiyo kama mumeo anakutumikisha sema "mume wangu ananitumikisha" au kama shoga yako kakwambia umsemee sema, lakini generalization noma.

Kuna wanawake wengine wanapenda kuwatumikia waume zao, na bila kumuandalia mume maji na kumpikia hawajisikii vizuri, na hujui mwanamme jukumu lake nini sasa huoni utawaharibia raha yao?
 
USIFIKIRI KUOLEWA NI KUPENDWA WENGINE WANAKIMBIA KULA KWA MAMANTILE,KUFUA NGUO WENYEWE NA WENGINE WANATAFUTA WASAIDIZI WA KAZI ZA NYUMBANI...... SO KUWA MAKINI USIKIMBILIE NDOA...

mna kazi mlioolewa.....!

Akiniletea swagga za kunitumikisha 'ntamtengeneza'!!!!!.... ila wapo ambao wameolewa na ndoa zao ni kama heaven.
 
Akiniletea swagga za kunitumikisha 'ntamtengeneza'!!!!!.... ila wapo ambao wameolewa na ndoa zao ni kama heaven.

Bottom line mjue mtu wako usiingie kichwakichwa, which I guess is in line with the Facebook status. Kama we sista du, feminist, au unaamini usawa katika ndoa, na bwana mwinyimwinyi, huyo si wako.
 
Bottom line mjue mtu wako usiingie kichwakichwa, which I guess is in line with the Facebook status. Kama we sista du, feminist, au unaamini usawa katika ndoa, na bwana mwinyimwinyi, huyo si wako.

So so true nitazingatia hilo..1st thing 1st.:poa
 
huyo hajapata wakumuoa ndo mana anawapiga madongo wenzio waliolewa.
kwa kifupi nahisi kuna mtu kamuonea wivu.
 
Usije ikawa kukaa Ulaya kumekuharibu mind set ya ndoa dada yetu. Anyway nitakupm kuna ishu nahitaji mawazo yako kuna paper naandika kuhusu Migrant Domestic Workers in EU. NIlishaona comment zako kwenye thread moja, naona utanisadia baadhi ya query
 
USIFIKIRI KUOLEWA NI KUPENDWA WENGINE WANAKIMBIA KULA KWA MAMANTILE,KUFUA NGUO WENYEWE NA WENGINE WANATAFUTA WASAIDIZI WA KAZI ZA NYUMBANI...... SO KUWA MAKINI USIKIMBILIE NDOA...

mna kazi mlioolewa.....!
Mh! Mbona unatutisha dadaangu, kwenye ndoa kuna mengi yategemea tu unavobahatika
Sio wanume wote walokua hivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom