Status bwana!kuna Ka feeling Fulani ukion views wengi

Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mwema aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
Kumbe wewe ni mwanamke!!!
 
Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mwema aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
Kwani wewe ni mwanamke? Nilikua najua kuwa wewe ni dume
 
Watu wa jamhuri ya upinde bhana mnajitangazaga kimkakati sana.
 
Back
Top Bottom