Ila wasukuma mkiwa smartphone mna fujo ..na ka bundle ka jero aaaah mambo safiYaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mwema aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
Sasa hapo mimi huwa naweka photos ambazo zinaonesha maisha yamenipiga ile mbaya. Wakati huo my current situation inabaki kuwa siri ya familia.Usisahau kuna macho ya HUSDA....si kulogwa si uchawi.....HUSDA.....
Does that make you so special ?Tokea nianze kutumia WhatsApp sijawahi hata kuweka picha
Hamna kitu Kama hikiUsisahau kuna macho ya HUSDA....si kulogwa si uchawi.....HUSDA.....
Yaani unawezaje kurekodi video chafu kwenye simu yako na una mtoto?jitafakariKuna siku niliiacha simu kitandani nikaenda kuoga, lahaula katoto kangu kakaanza kuichezea na kwa vile sina paswords kakaweka status video moja ambayo tulijirekodi tukifanya mambo yetu ya chumbani ndani ya dk 20 nilizotumia kuoga nilikuta views zaid ya 200 na zaidi ya missed calls 50
Weekend imeanza mapemaa ni mwendo wa MUPEEEE... MURUKEEEE jamaa bila shaka yupo HIGH.Nna uhakika hii I'd imedukuliwa
Kila mtu Huwa ana starehe yake/ furaha yake so huweziii shangaa mmasai ana n'gombe wengii au msukuma ana n'gombe elfu moja alafu analalia ngoziii au vitanda vya kamba..maisha DUNI, MLO DUNII so furaaaaahaaaaa yake ni kuzihesabu zile n'gombe asubuh na jioni na kuziona/ kuziangalia.Yaani unawezaje kurekodi video chafu kwenye simu yako na una mtoto?jitafakari
Upumbafu tu😐.....anataka kuwaachia laana watoto wake kuona utupu wakeKila mtu Huwa ana starehe yake/ furaha yake so huweziii shangaa mmasai ana n'gombe wengii au msukuma ana n'gombe elfu moja alafu analalia ngoziii au vitanda vya kamba..maisha DUNI, MLO DUNII so furaaaaahaaaaa yake ni kuzihesabu zile n'gombe asubuh na jioni na kuziona/ kuziangalia.
All in all, mtoa thread ametumia uhuru wake KUFANYA ANACHOKIPENDA
Kama anakua mtupu siungi mkono kama kupiga picha za KAWAIDA WAKILA NA KUNYWA NA KUFURAHI PAMOJA HAPO NAUNGA MKONOOUpumbafu tu😐.....anataka kuwaachia laana watoto wake kuona utupu wake
Ni za UTUPU...ndio maana alikuta views 200 na missed calls 50Kama anakua mtupu siungi mkono kama kupiga picha za KAWAIDA WAKILA NA KUNYWA NA KUFURAHI PAMOJA HAPO NAUNGA MKONOO
PICHA ZA UTUPU HAZIKUBARIKI.