Statoil: Tanzania find has up to 5 trillion cubic feet of gas

OK - Hydrocarbons found in Zafarani in Tanzania so OIL is here...

Hapo ndio wamegundua lakini inabidi wadrill hadi watakapopata critical mass for commercial production.
Kuna kampuni kadhaa tayari wanadrill off shore ila bado hawaja hit quantity for commercial production, but the outlook is very good and promising.
 
OK - Hydrocarbons found in Zafarani in Tanzania so OIL is here...

That is an indication for presence of crude oil...two days ago, a friend of mine told me about it.....

I wonder if that could be a good or bad news to us!!!
This skepticism is credited to bad experiences and lessons from gas and mineral extractions in Tanzania.

Would this also continue to be a Resource Curse??!? Let's cross our fingers, and wait for what is going to happen!
 
All other exploring companies were unknown and small now we see EXXON MOBILE... hawa wana mitambo ya ajabu within days they found hydrocarbons na huu mtambo ulichimbwa na kuachwa 1995 na kampuni ndogo ...

EXXON MOBILE now found all this within 3 days...
 
We jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.

Labda kwanza tuangalie zako kama ni za kiu-great thinker.

1. Slaa msosi shida? : https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/225318-slaa-msosi-shida.html

2. Mwanamke jiamni kwa avatar ya ukweli: https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/209261-mwanamke-najiamini-kwa-avatar-ya-ukweli.html

3. Hivi Steve Kanumba ana ugonjwa wa kuchekacheka au..........?: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/209148-hivi-steve-kanumba-ana-ugonjwa-wa-kuchekacheka-au.html

4. Kiranga=Nyani Ngabu: Hii mpaka ilikuwa moved.

Ukiangalia zimekaa ki-gossip gossip tuu. Hakuna cha maana. Kama hujui Kingereza, changia kwenye thread za Kiswahili. Kinacho-matter mleta habari ameweka source. Kabla ya kulalamika mkono ya mwingine ni michafu kaoshe ya kwako kwanza.
 
Haaahaaa! Kuna watu wanasahau hii ni JF. Wanafikiria wako kwenye zile corridor na ofisi walizozizoea. Wanaamini kila kitu ndani ya Taifa hili ni cha kwao tu na watoto wao. Tena wengine hatustahili kuvisikia....
 
hivi hiyo kampuni ya production tanzania ltd ni ya nani? serikali au shares zake zinapatikana dse?
 
All other exploring companies were unknown and small now we see EXXON MOBILE... hawa wana mitambo ya ajabu within days they found hydrocarbons na huu mtambo ulichimbwa na kuachwa 1995 na kampuni ndogo ...

EXXON MOBILE now found all this within 3 days...

Mkuu ExxonMobil ni kampuni kubwa sana kama ulivyosema; ina mali zenye utajiri unakisiwa kuwa wa US$ 349.000 billion (kwa hesabu za mwaka 2011) na mwaka jana ilipata faida ya US$ 41.060 billion.
Sasa kwa namna hiyo uchimbaji wao hautakua sawa na hizo unknown companies!!

Lakini hapa jambo la sisi kuzingatia na kuwa makini sana ni kujihadhari na ujio huu wa kasi wa makampuni makubwa kama haya kwenye sekta yetu mpya ya gesi na mafuta. Kwa msingi uliopo sasa mkuu, hakika hatuna la kufurahia zaidi ya kujiandaa na maumivu. Kwani mfumo wa sera na sheria katika sekta ya mafuta bado haujakaa vizuri sana. Mfano madaraka aliyopewa waziri na sheria ya mafuta (petroluem act) ya mwaka 2008 ni makubwa mno kiasi kwamba, kwa aina ya viongozi tulio nao sasa, mambo tunayoyashuhudia katika sekta ya madini, yanaweza kujirudia.

Ebu soma ripoti hii iliyoandaliwa na ESRF. Sijui kama watu wa pale wizarani (nishati na madini) uwa wameisoma hii na kuifanya kazi.

http://www.policyforum-tz.org/files/ESRFNPAPetroleumSectorBaselineReport.pdf
 
Haaahaaa! Kuna watu wanasahau hii ni JF. Wanafikiria wako kwenye zile corridor na ofisi walizozizoea. Wanaamini kila kitu ndani ya Taifa hili ni cha kwao tu na watoto wao. Tena wengine hatustahili kuvisikia....

Probably ndio wale wanaosaini mikataba bila kuisoma kwa vile tuu imeandikwa kwa Kiingereza. Lakini ukweli ni kwamba Watanzania huwa tunapenda sana hoja nyepesi nyepesi na umbea kwa sana. Labda kwao msosi sio shida, ndio maana anauliza kama kwa Slaa msosi shida.

john-komba.jpg

Halafu wakati huo huo unakuta watu wanalalamika hali ya maisha ni mbaya, wakati hawahangaiki hata kujua kwa nini maisha yanaendelea kuwa magumu wakati nchi yetu ni tajiri (nchi ya tatu kwa uzalishaji wa dhahabu Africa lakini).

We have become a nation of complainers: allAfrica.com: Tanzania: The Country Has Become a Nation of Complainers
 
hivi hiyo kampuni ya production tanzania ltd ni ya nani? serikali au shares zake zinapatikana dse?

I also wonder who is who in the on going activities in the south. Hata hivyo, something big is about to happen as the sector attracts huge/massive investment.
Hata hivyo, from old stories...Angola kuna kampuni moja ilikuwa inaitwa Devon Oil and Gas ambayo ilikuwa inamilikiwa na Tony Buckingham na Simon Mann. Hawa jamaa walikuwa na stake kwenye oil&gas production za Angola. Mwaka 1993, Unita iliteka karibu visiwa vyote vilivyokuwepo Soyo kiasi kwamba ikatishia kufungwa kwa kampuni hii. Tukumbe Simon Mann alikuwa ni comandoo wa Uingereza(SAS). Baada ya kunyanganywa visima vyao na Unita hawa jamaa walikuja na proposal ya kutumia maaskari wa kukodi kuwasulubu Unita na kurudisha visima vile kwenye serikali ya MPLA.
Vita ile ya mwaka 1993 ambayo ilikuja baada ya Unita kushindwa uchaguzi, ilizaa kampuni ya kitapeli iliyokuwa inaitwa Executive Outcomes ambayo ilihusika sana na maaskari mamluki(Fortune Soldiers) ambao walihusika sana na vita vya hapa na pale kwenye resources zilizopo Africa.
Ninachotaka kusema hapa ni kitui kidogo tu...je tunauhakika kiasi gani haya makampuni yanayokuja kuwekeza kwenye sector ya petroli na gas hayatageuka kama Executive Outcomes ambayo ilihusika sana na migogoro mingi barani Africa?
Kina Simon Mann bado wapo wengi na tutalaaniwa kama tutawaruhusu waweke miguu yao ndani ya nchi yetu hii tukufu.
 
Namkumbuka Mann alikuwa ananyea debe kule Malabo Eq. Guinea, ametolewa juzi juzi tu kwa msamaha wa Rais tena baada ya kutubu dhambi zake...wahusika wengine ni mtoto wa Magreth Thatcher...Mark :A S-coffee:
 
Isipokuwa that idea of Executive Outcomes imemfanya Mann awe milionea. Na kuna wengine wameshaiboresha zaidi for future adventures in Africa, trust me.
 
The problem of our country is not the presence of hydrocarbons, that much we know that we have plenty especially gas, BUT the type of contracts we enter which do not favour our economic growth! All the revenue to be collected will end up favouring foreign investors and their respective countries.
 
As long as hatuna technology, science and capittal, and at the same time tuko desparate na maendeleo ya watu (nchi) yetu, we will end up katika mikono ya the likes of Exxon Mobil.....and as far as this company is concerned (Exxon), then am referring back to Dr Ghazivinian book: Curse Oil; na madudu ya hii kampuni kwa host countries wanamo piga deal zao...awa jamaa ni wajanja sana (wezi)...ila ndo hivo tena, kwa status quo ya system ilivo debilitate tunabakia kusema: 'tuombe mungu' tu....sad indeed!
 
Word!

Viongozi wetu wanajisikia fahari na raha pale wanapoona kampuni kubwa kama ExxonMobil zikija kuwekeza. Wanasahau kuwa hawa jamaa utajiri wao upo kwenye 10+ zeros,tena US$!
Kwa namna hiyo,kufyonzwa ndiyo option iliyopo.

The company means business,and the current legal and political frameworks won't support the win-win deals that the nation desperately needs!
 
Back
Top Bottom