STARTIMES yamuua rasimi

STARTIMES yamuua rasimi

atubariki

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
225
Reaction score
17
Ndo niko live naona Star times wameamua kuziweka rasimi Star tv,Eat,Itv naona zote ziko =on test si unajua tena December imeshafika analogue bye bye karibu Digital
 
Hizo zote zitakuwa zinaonekana hata bila king'amuzi(itv,star,tbc)
 
Mkuu uko wapi, i mean mkoa? Isije kuwa ni mambo ya Dar tu!
 
ngoja nkirudi nyumbani afu nsizikute mtantambua mloleta huu uzi

samahani lakini
 
ippmedia wameshindwa kuanzisha king'amuzi chao na wao ? i don't like startimes.....!!!
 
Haya mambo ya kuhamia kwenye digital world wide mwisho ni 2015.. Sie tunawahi kuweka deadline ya 2012 Dec bila ya kufanya utafiti wa kutosha.. Walala hoi wengi hawajapata uwezo wa kununua hivyo Ving'amuzi bado.. Halafu wengi bado hawajui kama kuna zoezi hilo..
 
Back
Top Bottom