STARTIMES yamuua rasimi

STARTIMES yamuua rasimi

Mkuu Mohamedi Mtoi kumbe na wewe unapatikanaga humu? Habari za TA? Lipi jipya huko Jukwaa la Stress?

Mkuu Chilli.
Umeniacha hoi sana! Ndio nimekuja kupunguza stress humu, Tanga kwema mkuu. Tuna ugeni wa Azam ambao leo wamechapwa na Mgambo na Kesho wazee wa Yeboyebo wanakipiga na wagosi wa kaya.

Kule huwezi kuuliza mambo kama haya maana unaweza kujikuta unalala mgonjwa.
 
Back
Top Bottom