mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,693
Watanzania hawajai kulalamika kuhusu hiyo bei usiwasemee. Ni hela ndogo sana hiyo kwa kupata taarifa.Hapa sijizungumzii mimi ninawazungumzia watanzania walio wengi. Mfano pato la mtanzania kwa mwaka ni Tshs 3,000,000/= ÷ 12 = 250,000/= ÷ 31 = 806 Pato la Mtanzania kwa siku. Sasa chukua 6,000/= ÷ 800 = 7.5 ~ Mlo wa siku 8. Inamaanisha ili kulipia King'amuzi Mtanzania anahitaji kutumia mlo wa siku 8.
Nadhani umenielewa.