HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 925
basi uwe unamjazia hiyo elf 6 kila mwezi kama c helaUnalalamika sh elfu 6 tu mwanaume mzima?
basi uwe unamjazia hiyo elf 6 kila mwezi kama c helaUnalalamika sh elfu 6 tu mwanaume mzima?
Umeulizwa hilo swali zaidi ya mara mbili bado tu unakosea.Mimi nimechukua 250,000/= ÷ 31
Wewe umechukua 250,000/= ÷ 30
MAJIBU YOTE UKIKARIBISHA UNAPATA 800/= Tshs kwa siku.
mkuu ukiambiwa thibisha kauli yako una mashiko ya kauli hyo! tafadharini vporo vya kande visiwachanganyeTANZANIA HAKUNA SERIKALI ILA KUNA SIRIKALI
Unalalamika sh elfu 6 tu mwanaume mzima?
achana naye huyo akili ndogoUnaiona ndogo?hali hazilingani.
Usipende kuwa mnafiki ,Dunia imebadilika wakati huko kwenye dunia ya kwanza mfano Uingereza kuna Chanels za bure kabisa ukihitaji ziada ndio unalipia unapewa na free Wi-FiHivi dunia ya leo bado mnasaka vya bure!! Mambo yamebadilika ndugu zangu. Ulimwengu wa wenye fedha tu!