Startimes local channel sasa kulipiwa 6,000/=

Startimes local channel sasa kulipiwa 6,000/=

Nawabunge wa chama chetu hawataweza kumwuuliza nape kuhusu hili. Wale wenye uwezo wa kuuliza wanatokaga.

Nakumbuka kipindi kile cha bunge live au hapana, wabunge wa chama chetu walishangilia hadi wengine kupata uchungu. Waliokomaa kuhoji, rungu la adhabu likawaangukia. Hongera chama changu.
WALIPE TU HAMNA NAMNA
 
Tatizo lakutobalance wabunge mjue kwamba wabunge WA upinzani pekee ndiyo wanaotetea masikini salsa he nani ataiuliza Star time.Mbona waziri WA afya yuko maini Na si Nape
 
wale wa digiteki mzee mengi anawalia timing tu siku yoyote atakinukisha
 
Hizi ni channel za watu binafsi. Wanatumia fedha zao kuziendesha. Ni wafanya biashara kama walivyo wafanya biashara wengine. Lazima zilipiwe pamoja na VAT ili na serikali ipate fedha.

Ya bure ni TBC1 tu ambayo tunaiendesha kwa fedha za kodi zetu. Hii itatufanya tupende channel yetu ambayo ni TBC1 pekee. Zile zingine ni biashara! Huu ndiyo ukweli.

Nasikia CCM na CDM nao wako mbioni kuanzisha channel na ving'amuzi vyao. Sidhani kama zitakuwa za bure maana ruzuku ya vyama vya siasa inapaswa iondolewe.
 
Umenisaidia mkuu,

Watanzania wengi wamekulia mjini na hawaendi kwao (vijiji) hata kwa kusalimia tu. Hili linafanya wajione kama malaika wenye kila kitu. Kuna Kijiji nilienda nikatoa 10,000/= yaani chenchi ilikuwa ni issue.
Ulitoa ya nini?
 
Kwa gharama hizi sasa tunarudi enzi za Mwalimu, Radio ilipokuwa ndio chanzo kikuu cha kupata habari.

Halafu atakuja jamaa mmoja na kusema; " Mimi ni kiongozi wa Maskini kwa kuwa nimechaguliwa na Maskini "
 
Kwa gharama hizi sasa tunarudi enzi za Mwalimu, Radio ilipokuwa ndio chanzo kikuu cha kupata habari.

Halafu atakuja jamaa mmoja na kusema; " Mimi ni kiongozi wa Maskini kwa kuwa nimechaguliwa na Maskini "
Hiyo ID yako na comment yako vinafana kabisa. Mussolin aliingia kwa gia ya umasikini wake madarakani lakini alipopewa Uraisi maskini walijuta kumchagua.
 
Mbona mwanzoni walijigamba kuwa local channels ni bure. Tena walikuwa wakitangaza kwa mbwebwe kwenye vyombo vya habari. Sasa naona kimya... hakuna cha TCRA wala Wizara husika.

KUONYESHA UUNGWANA WAJE KUTUOMBA RADHI KUWA WALITUDANGANYA
hahaha waliona hailipi xo qwa xaxa wanabakisha tbc1 too alafu local channels unalipia 6000 n bora continental 4850 channels 15 siku 30
 
Mtu mwenye TV na decoder awezi kukosa elfu 6 ya kulipia. Msipende kuleta siasa kwenye kila kitu... Ombeni basi ata magazeti na simu ziwe bure.
Ongeza juhudi katika kufikiri... Kumbuka kumiliki ni one off transaction lakini pia kumiliki kwaweza tokana na matokeo ya mavuno mazuri ya mazao msimu mmoja pasipo kusahau zawadi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.
 
Hii ndio nchi ya wadanganyika bwana kwani humjui? Kwenye vyombo vya habari wanasema local channel bure, lkn chini ya kapeti wanafyeka
 
Ninawasalimu wanajamvi wote,

Leo asubihi nimetembelea ofisi za Star Times baada ya king'amuzi changu kukata Chaneli za Nyumbani jana.

Naomba niwathibitishie kuwa Star Times wamenithibitishia kuwa Chaneli zote za Nyumbani isipokuwa TBC1 zitatozwa Tshs 6,000/= kwa mwezi.

Nawasilisha.
wamekwambia kunzia lini?
 
ni bora continental decoder unalipia 12000/= qwa mwez na unapata channels 51 pa1 na local channels 13 dira tv,zbc1&2,uhaitv,cloudstv,ch10,tbc1,tv1,sibukatv,atn,eatv,itv na startv
continental kuna chanel za mpira live kama zilizopo kwenye star time ambazo ni tv1,sport arena,sport life,world football na sport focus
 
Umenisaidia mkuu,

Watanzania wengi wamekulia mjini na hawaendi kwao (vijiji) hata kwa kusalimia tu. Hili linafanya wajione kama malaika wenye kila kitu. Kuna Kijiji nilienda nikatoa 10,000/= yaani chenchi ilikuwa ni issue.
mm shangazi yangu huko kijijini nyumba yake aliniambia ana miez 4 ajanunua umeme wa ruku anashindia kibatar..luku imeisha lakn ana sh 9000 kununulia..maisha kijijin siyo mchezo
 
Back
Top Bottom