Startimes: kweli wandugu tumekubali kushindwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Startimes: kweli wandugu tumekubali kushindwa?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mbaga Michael, Oct 31, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Heshima mbele wadau,

  Ni mwezi wa 7 sasa tangu ninunue king'amuzi cha startimes, lakini ni mwezi mmoja tu ndo nimeweza kulipia.

  Gharama zake kweli mi zimenishinda ila kukitumia napenda hivi kweli hakuna mtu mwenye ujuzi wa kuchakachua kuangalia chaneli zote bila kulipia??

  Tafadhari mwenye ujuzi jamani aje atuwekee au kama vp aniPM maana king'amuzi changu kimekuwa kama pambo ndani,

  naomba kuwasilisha.
   
 2. T

  The_Analyst JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 214
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Funga antenna.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Halafu kura zikichakachuliwa mnalalamika ha ha ha ha.

   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ama kweli watu tunatofautiana! Mwea, kuna program gani inayokuvutia namna hiyo Star Times? Watu wenyewe hawakupi hata wanachokitangaza wenyewe?
   
 5. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Zipo zipo ila kama unaweza wenIPM mkuu
   
 6. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Swala la kura hlo lingne kabisa
   
 7. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Bahati mbaya sina utaalamu unaouhitaji, ila hapa JF utapata tu. Kuwa na subira mkuu!
   
 8. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ahsante
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mi huwa naangalia ITV tu hizo channel zingine mbwembwe!!
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kwa jinsi wanavyonikera hadi nimeamua kukiuza king'amuzi cha startimes, kama kuna mtu anakihitaji atokelezee PM tufanze biashara.
   
 11. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  alaaa samahani kwanza, naomba utueleze ni kiasi gani hiko unachotakiwa kulipia kwa mwezi kimekushinda? Hawa jamaa wana kile kiwango chetu akina sie kajamba nani buku7 au tisa nafikiri kwa mwezi

  **Ni mtazamo tu*
   
 12. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Habari njema kwako: waweza kuangalia chaneli zote kwa sh.900(mia tisa)tu kwa siku. Ukilipia ijumaa sh.2,700/= unaburudika weekend nzima, hii inakuepusha kulipia mwezi mzima wakati matumizi yako si kila siku.

  Jaribu leo uone raha yake bila ya kuchakachua!
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yaani TZ imekwisha kabisa , haya kila raia anawaza kuchakachua tena anaona uchakachuaji ni kitu cha kawaida bila haya kabisa.

  Shame!
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mkuu 9000/= imekushinda ingekuwa dstv je?
   
 15. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Kiukweli vyote tu mdau maana kila mwisho wa mwezi unalipia hapo ndo kuna tatizo kwangu
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  slowly wamebadilika na kuwa kama dstv package ya bei rahisi haina kitu ila ya bei juu ambayo jamaa kachemka ndo maana anatafuta uchakachuzi na bei ya chini ni 9K...
   
 17. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  imenishnda kwanini nifiche mdau
   
 18. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ahsante mdau
   
 19. a

  addaxx New Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hawa startimes wanatuibia coz kama umelipia kiasi cha channel ulizozichagua kuna baadhi ya channel azionyeshi na ukifuatilia wewe msumbufu kingine kabisa ni kwamba kwann wasiwe na umoja na vituo vingne?
   
 20. a

  addaxx New Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha hebu nielekeze Mwea
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...