Stars yatoka sare Swaziland

Stars yatoka sare Swaziland

Mkuu tusibishane sana hapa...its a matter of time....huyu malinzi huyu I swear before ardhi na mbingu and before GOD hatachukua Challenge,hataenda popote kwenye AFCON na hatashinda taji lolote la kimataifa.....Huo wa kwako ni ushabiki mandazi.....Mtu mwenye mipango endelevu anaonekana hata katika kupanga timu yake na mipango yake...kwa huyu mhaya Jamal Malinzi aliyejaza wahaya pale TFF hakuna kitu....misifa tu ya kuhamishia ofisi posta

Of course anaweza kutochukua michuano inayoelekea kufa....I mean nani anajua kama Challenge itarudi,an inferior tournament that no one want to host anymore.
 
Last edited by a moderator:
Of course anaweza kutochukua michuano inayoelekea kufa....I mean nani anajua kama Challenge itarudi,an inferior tournament that no one want to host anymore.

Nimekwambia hatachukua taji lolote la kimataifa
 
kwani tenga kachukua mataji mangapi kimataifa? pia tenga yupo cecafa now na challenge cup inafia mikononi mwake

Amechukua challenge na kombe la shirikisho...hayo ni ya kimataifa...
 
Back
Top Bottom