Stars/Msumbiji Live update!

Stars/Msumbiji Live update!

sure boy/ salum abubakar ataingia na kutoka nje abid kasim babi.
 
salum abubakar ana mtoto mmoja. kapiga mpira ukagonga mwamba.
 
boko amekosa goli yeye na kipa. haki ya mungu boko hatufai. sio mchezaji. wenzake wanajituma yeye anajiangusha. sijui kwanini hajatolewa. inauma sana.
 
Lingine john bhoko kakosa,hawa wamakonde sijui wamewawekea ndonya miguuni
 
shadrack kaonywa kwa kadi ya njano. baada ya kufanya upumbavu ambao haujanifurahisha.
 
Back
Top Bottom