Stars/Msumbiji Live update!

OFFICIAL
Taifa Stars: Juma Kaseja 1,Shadrack Nsajigwa 14, Stephen Mwasika 3,Juma Nyoso 4
Aggrey Morris 6,Shabani Nditi 19, Nizar Khalfan 16, Mwinyi Kazimoto 15, John Bocco 9
Abdi Kassim 13,Vincent Barnabas 17
Substitutes:
Mwadini Ally 18, Shomari Kapombe 20,Waziri Salum 21,Salum Abubakar 11,Mrisho Ngassa 8,Hussein Javu 12 na Nsa Job 10
nina imani Taifa Stars........mfano wakiingia hawa kwa mpigo lazima kieleweke..........Mungu ibariki Tanzania na uwalaaaaaaaaaaaani mafisadi
 
timu ya tanzania ni
Juma kaseja, nsajigwa, nyoso, mwasika,boko, agrey, nizar alfan, abid kassim babi, vicent barnabas, shaban nditi na kazimoto.
mchezaji tishio kwetu ni Jeremie stoe.
 
msumbiji amepata goli dakika ya 25 kupitia kwa KEISIO BAKE.
TANZANIA 0 - 1 MSUMBIJI
 
GOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!. Hadi mpira uishe si tutafungwa kumi. Hapa hata ukisema uwe mzalendo ushangilie timu yako, inakuwaje?
 
duh hapa inabidi nitafute hedex maana nikisema nipate viloba nitapandwa jaziba
 
Tanzania inashambuliwa sana. hadi mashabiki wanaanza kuwazomea. hasa boko anazomewa sana baada ya kuwa anafanya uvivu pale mbele. wachezaji wa tanzania wote wapo nyuma, mbele wamemuacha boko peke yake ambaye hafanyi chochote bora apumzike. msumbiji wanaonyesha ufundi tz wanabutua.
 
boko ndo mfungaji bora katika ligi ya Tanzania ndo maana kocha anamchagua kumbe anasahau kwamba boko anafunga magoli ya ya penalti tu ndo maana anaongoza. aibu ya kocha hiyo.
 
taifa stars akishinda leo najiuzuru kuingia JF for 1 week.....LAZIMA MFUNGWE.....

Aki ya nani wewe umeniboa, vibaya. Mi sikufichi kama ungekuwa rafiki yangu mi na wewe urafiki mwisho,Nyie ndiyo mliopoteza utu wa nchi ye2, watu kama nyie ndio mafisadi wa kifkra, nipo radhi wanifungie jf a/c yangu kwa ajili ya maneno yangu kwako, kiukweli umeniboa xana.
 
tz wanachezewa mpira utafikiri hawakufanya mazoezi. msumbiji wanacheza mpira wa dharau. wenzetu wanatuzidi mpira sana. utafikiri tunacheza na brazil.
 
duh hapa inabidi nitafute hedex maana nikisema nipate viloba nitapandwa jaziba

Zima tu TV, na km uko uwanjani rudi tu ome. Kweli ukiendelea kuangalia unaweza ukapata TZ Stars football heart attack
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom