Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
Hivi starehe ya mtu ambaye hanywi pombe inaweza kuwa ni nini?? Maana kufanya kazi kila wiki mwezi mwaka halafu kilabweekend kutulia nyumbani Huendi club wala sehemu yoyote ya starehe; si unaweza kufa mapema?? Tupeane uzoefu maana nataka kuacha pombe aisee.
jf inawatu vilaza sana siku izi..
so ww umeona pombe ndio kila kitu yan ndio oxygen ya furaha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazini unatoka saa ngapi Khantwe? Sisemi ukanywe lakini hiyo ratiba ni ngumu kwa kweli.Mahitaji ya msingi ya mwanadama ni chakula, mavazi na malazi. Kwani starehe lazima? Ukitoka kazini ukaoga,ukala na kulala siku inakuwa haijakamilika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala kawaida tu, hivi ukifika nyumbani saa kumi na mbili au saa moja hadi uandae ule si saa ya kulala tayariKazini unatoka saa ngapi Khantwe? Sisemi ukanywe lakini hiyo ratiba ni ngumu kwa kweli.
Ratiba ya hivyo naweza fanya kwa kipindi kifupi pale kazi zimebana lakini hayo maisha ya kazi, kula, kulala hapana, labda kama kazi yenyewe iwe ni aina flani ya kazi ambayo sio routine.Wala kawaida tu, hivi ukifika nyumbani saa kumi na mbili au saa moja hadi uandae ule si saa ya kulala tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Nakaziajf inawatu vilaza sana siku izi..
so ww umeona pombe ndio kila kitu yan ndio oxygen ya furaha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano wewe huwa unafanyaje bossRatiba ya hivyo naweza fanya kwa kipindi kifupi pale kazi zimebana lakini hayo maisha ya kazi, kula, kulala hapana, labda kama kazi yenyewe iwe ni aina flani ya kazi ambayo sio routine.
Watu kama wewe wanapenda...mpira..mademu...video gamessiwezi kujiua kwa kunywa pombe.mwili wangu una thamani sanaa.nina miaka 28 mpaka sasa sijawahi kunywa pombe,kuvuta sigara wala bhange.na sintokuja kuvitumia mpaka nakufaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana boss
basi mimi nawe twaweza endana, japo nna kaulevi kalichojificha[emoji23]Hapana boss