Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

Kuna starehe nyingi sana ukiachilia mbali pombe.
Kuogelea, kusoma, kutizama filamu na sinema, kutembelea mbuga na kugundua mambo mengi ya ulimwengu, kufanya tahajudi, kufanya uchunguzi na ugunduzi, kazi za mikono zenye interest tu, michezo, comedy, kujitolea kwaajili ya wengine,kupiga muziki na kuimba, na mengine mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote sisi wanywa pombe tunafanya pia
 
Liquid itaendelea kuwa juuu juuu juuu zaidii mamaaaa mamaaa nakufwaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20181205_150826.jpeg
 
Rapid tranquilizers kama vile dawa za usingizi (valium), bangi na mirungi unaweza kutumia badala ya pombe kufanikisha nia yako ya kuburudisha akili na nafsi. Wengi wasiokunywa pombe hujisikia katika tranquility ya hali ya juu kwa kutumia tranquilizers

Sent using Jamii Forums mobile app
At least umeniconvince maana kudinya hata sisi wanywa pombe tunadinya pia. Sometimes nikimwona mtu hana tranquilizer yoyote huwa nawaza kwamba starehe yake ni kuwanga maana nasikia kuwanga ni burudani isiyo na mfano.

Naomba Mshana Jr na timu yako mlifanyie kazi hili suala mlete mada ya uwangaji
 
Kuna starehe nyingi sana ukiachilia mbali pombe.
Kuogelea, kusoma, kutizama filamu na sinema, kutembelea mbuga na kugundua mambo mengi ya ulimwengu, kufanya tahajudi, kufanya uchunguzi na ugunduzi, kazi za mikono zenye interest tu, michezo, comedy, kujitolea kwaajili ya wengine,kupiga muziki na kuimba, na mengine mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa Majibu mazuri; we ni moja ya watu waelewa sana mkuu...thanks
 
Hivi starehe ya mtu ambaye hanywi pombe inaweza kuwa ni nini?? Maana kufanya kazi kila wiki mwezi mwaka halafu kilabweekend kutulia nyumbani Huendi club wala sehemu yoyote ya starehe; si unaweza kufa mapema?? Tupeane uzoefu maana nataka kuacha pombe aisee.
Video games.. Hii kitu bana naipenda balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wapumbavvu wasikuzingue, wanajijua kama starehe yao ni kudinya
Hii nayo nd starehe mbn watu tuna wake ndani na michepuko kibao lkn hatuoni kipya huko lakini hakuna furaha kama siku mnakutana kampani ya washkaji mlosoma nao maybe mkaanza shusha monde na nyama choma inakuaa burdaan sana
 
Na huruma hunijia hv wakitoa mchango wa harusi laki mbili akifika pale anakunywa soda na juice kamaliza
Wakati c wengine hua tunajitahidi kwenye laki mbili aambulie hata af tano tu tuna I compensate na bia
Hahahhahahahh noma sana mkuu
 
Hivi starehe ya mtu ambaye hanywi pombe inaweza kuwa ni nini?? Maana kufanya kazi kila wiki mwezi mwaka halafu kilabweekend kutulia nyumbani Huendi club wala sehemu yoyote ya starehe; si unaweza kufa mapema?? Tupeane uzoefu maana nataka kuacha pombe aisee.
Kutokunywa Pombe ni Raha Sana Mimi starehe yangu ni kwenda ktk Mbuga za wanyama, Beach, picnic, na kutembelea sehemu mbalimbali za Mambo ya kale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi situmii kilevi natumia pombe ya manyoya tu

Back
Top Bottom