Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

Hivi starehe ya mtu ambaye hanywi pombe inaweza kuwa ni nini?? Maana kufanya kazi kila wiki mwezi mwaka halafu kilabweekend kutulia nyumbani Huendi club wala sehemu yoyote ya starehe; si unaweza kufa mapema?? Tupeane uzoefu maana nataka kuacha pombe aisee.
Inaelekea wewe ukipata hela nyingi utakufa.


Wala usibishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna starehe nyingi sana ukiachilia mbali pombe.
Kuogelea, kusoma, kutizama filamu na sinema, kutembelea mbuga na kugundua mambo mengi ya ulimwengu, kufanya tahajudi, kufanya uchunguzi na ugunduzi, kazi za mikono zenye interest tu, michezo, comedy, kujitolea kwaajili ya wengine,kupiga muziki na kuimba, na mengine mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe inasababisha kulewa, na kulewa kunaleta ulevi, Kwa hiyo ulevi nayo ni starehe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah..Walevi wengi ni watu dhaifu...hawawezi kushawishi vizuri bila kuwa na kilevi fulani....kuwa na furaha...hawawezi kuhimili misongo ya mawazo.....kumpa mtu makavu...au hata kugegeda....pombe huwasaidia kufanya vile wasivyoviweza...yaani Kama wale jamaa wanyongaji[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikakunywee, alafu, nikupe makavu yako, ha ha ha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namfahamu mtu ambaye ni bwana mdogo tu ila aicee anasoma Novels sanaa...

Hata mkienda Beach yeye anavuta kiti anakaa mbali na kitabu mkononi, muulize chochote kuhusu tawala za zamani kama warumi, wayunani au Watu maarufu zamani n.k

Kila mara yupo na kibegi chenye vitabu mgongoni hata mpira hafuatilii.

Sasa huyo starehe ya pombe si ni kama mateso kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unakunywa kwakuwa Baba wa Taifa alikuwa hakosekani na kileo?
Pombe ni kitu muhimu saana
Hasa nikikumbuka baba wa taifa alikua hakosekani na kileo hua najiuliza mimi nana nisipate kileo kama baba wa taifa hili tu alitumia
Though unywaji wa pombe kupitiliza ni hatari kwa afya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha, We jamaa unaniletea za kuleta sana wewe, sasa, ngoja siku yake nikunywee, alafu nikupake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo starehe yake.
Screenshot_20181229-142900.jpg
Screenshot_20181229-142957.jpg
Screenshot_20181229-142939.jpg
Screenshot_20181229-142924.jpg
Screenshot_20181229-142914.jpg
Screenshot_20181229-142841.jpg
Screenshot_20181229-142831.jpg
Screenshot_20181229-142816.jpg
Screenshot_20181229-142803.jpg
Screenshot_20181229-142748.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
At least umeniconvince maana kudinya hata sisi wanywa pombe tunadinya pia. Sometimes nikimwona mtu hana tranquilizer yoyote huwa nawaza kwamba starehe yake ni kuwanga maana nasikia kuwanga ni burudani isiyo na mfano.

Naomba Mshana Jr na timu yako mlifanyie kazi hili suala mlete mada ya uwangaji
Mshana jr mwenyewe kwenye maji amepiga saluti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namfahamu mtu ambaye ni bwana mdogo tu ila aicee anasoma Novels sanaa...

Hata mkienda Beach yeye anavuta kiti anakaa mbali na kitabu mkononi, muulize chochote kuhusu tawala za zamani kama warumi, wayunani au Watu maarufu zamani n.k

Kila mara yupo na kibegi chenye vitabu mgongoni hata mpira hafuatilii.

Sasa huyo starehe ya pombe si ni kama mateso kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
100000 kati ya mmoja anaweza sema hiyo nayo ni starehe
 
Back
Top Bottom