Chiblak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 728
- 992
Hao si ndio wanakaaga na mama, dada ,baba ,wake na watu wetu wa karibu si tukiwa tuko bar wanaanza kupiga porojo... Mara ooh flani anatumia pesa sana angekua amefika mbali wakati ye mwenyewe bado yupo dar hata kibamba hajafika ..mara ooh angekua amejenga wakati wao hawana hata vyumba vya kupanga.. Na ni nani aliwaambiaga watu wanaenda kunywaga matofali ya ujenzi, au ma benz, miradi ya biashara na vitu ka hzo... Acheni hzooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app