Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

Hivi starehe ya mtu ambaye hanywi pombe inaweza kuwa ni nini?? Maana kufanya kazi kila wiki mwezi mwaka halafu kilabweekend kutulia nyumbani Huendi club wala sehemu yoyote ya starehe; si unaweza kufa mapema?? Tupeane uzoefu maana nataka kuacha pombe aisee.

starehe ni moja tuu kaka...kugegeda...zingine zote hizo ni feki.
 
Hivi starehe ya mtu ambaye hanywi pombe inaweza kuwa ni nini?? Maana kufanya kazi kila wiki mwezi mwaka halafu kilabweekend kutulia nyumbani Huendi club wala sehemu yoyote ya starehe; si unaweza kufa mapema?? Tupeane uzoefu maana nataka kuacha pombe aisee.
Ukiokoka utajua mlevi anakufa haraka zaidi kuliko asiyekunywa. Tafakari sifa ZA MLEVI UTUAMBIE FAIDA.
 
Kuna starehe nyingi sana ukiachilia mbali pombe.
Kuogelea, kusoma, kutizama filamu na sinema, kutembelea mbuga na kugundua mambo mengi ya ulimwengu, kufanya tahajudi, kufanya uchunguzi na ugunduzi, kazi za mikono zenye interest tu, michezo, comedy, kujitolea kwaajili ya wengine,kupiga muziki na kuimba, na mengine mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani katika zooote ulizotaja sex unajifanya umeisahau au we jamaa mungu anakuona usijisahaulishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kuna wengine hatujui starehe kabisa
Sijawahi kunywa pombe tangu nizaliwe,
Nimeoa leo mwaka wa sita nimetoka nje ya ndoa mara mbili kama miaka miwili iliyopita,sivuti sigara,sivuti bangi na wala siyo mhudhuriaji mzuri wa nyumba za Ibaada japo nasali,siyo kwamba Sina hela kiasi cha kushindwa kufanya hayo yote hapana ni mparanganaji mzuri sasa sijui nakwama wapi.Weekend nashinda home muda mwingi nikiwa mitandaoni tu, naangalia soka na muziki hayo ndiyo maisha yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app


dah!...kuna wanaume wenzako jaman km wako chuo 2nd year.. ..kuna majanaume yanabet daily,yanavuta sigara,yanavuta ndumu,yanakunywa mbege,k vant makorokoro
yooote😂 yaan ufiraun wote yamo! naamini mkeo ni mwanamke mwenye furaha duniani...kama hana furaha ana gubu huyo😊😊!
 
mfano msimu huu wa sikukuu uache kwenda viwanja kula monde na washkaji mkibadilishana mawazo na ideas na vitu vya kufanya mwakani ujifungie ndani eti unaangalia movies mtoto wa kiume kweli??
Wewe umebobea kwenywe pombe, wengine wamebobea kwe michezo mbalimbali, aidha acheze yeye, ama anaangalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilijaribu pombe nikashindwa..unaota ndoto za ajabu saana na haina ladha tamu wakati napenda vitu vitamu saana.
 
Mimi nilijaribu pombe nikashindwa..unaota ndoto za ajabu saana na haina ladha tamu wakati napenda vitu vitamu saana.

mm pia mapombe machachu siwez..si.ujaribu zile tamu sasa
.mbn kuna smirnof blak ice,kuna desperado kuna sweet wine kibao..uko wapi nikupe somo😂😂
 
isipokua tu pombe haitakuzawadia ukimwi kama hicho
Ila pia ujue, wanywa pombe, hawang'oi vitendea ngono wakaenda kunywa wakiwa watupu, bali hufuatana navyo.

Kama umesikia visa vya watu kulala na, mama mzazi mama mdogo, Baba mzazi, Dada wa Damu, Kaka wa Damu, mke wa rafiki, na watu huenda asingekua pombe asingeshiriki nao tendo.

Hivi kama wanywa pombe ni waamini, kwanini baa nyingi, wahudumu ni wanawake, tena wanaovaa nguo, za kutamanisha.

Jiulize kwa nini, wa Dada wengi huweka vituo vya mauzo karibu na maeneo ya pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi starehe ya mtu ambaye hanywi pombe inaweza kuwa ni nini?? Maana kufanya kazi kila wiki mwezi mwaka halafu kilabweekend kutulia nyumbani Huendi club wala sehemu yoyote ya starehe; si unaweza kufa mapema?? Tupeane uzoefu maana nataka kuacha pombe aisee.
ambaruu...t
 
Back
Top Bottom