Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 372
Hivi starehe ya mtu ambaye hanywi pombe inaweza kuwa ni nini?? Maana kufanya kazi kila wiki mwezi mwaka halafu kilabweekend kutulia nyumbani Huendi club wala sehemu yoyote ya starehe; si unaweza kufa mapema?? Tupeane uzoefu maana nataka kuacha pombe aisee.