James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,290
Sijawai kunywa pombe, kuvuta sigara au bangi , sili ugolo, siyo malaya na maisha yanaenda tu. Cha ajabu wafanyao vitu hivyo wanatamani kuwa kama mimi lakini kwa nguvu zao hawawezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app