MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,170
Basi kuna wengine hatujui starehe kabisa
Sijawahi kunywa pombe tangu nizaliwe,
Nimeoa leo mwaka wa sita nimetoka nje ya ndoa mara mbili kama miaka miwili iliyopita,sivuti sigara,sivuti bangi na wala siyo mhudhuriaji mzuri wa nyumba za Ibaada japo nasali,siyo kwamba Sina hela kiasi cha kushindwa kufanya hayo yote hapana ni mparanganaji mzuri sasa sijui nakwama wapi.Weekend nashinda home muda mwingi nikiwa mitandaoni tu, naangalia soka na muziki hayo ndiyo maisha yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app