Starehe Maarufu Kuliko Zote ni Ipi?

Starehe Maarufu Kuliko Zote ni Ipi?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
images 2.jpg
ya kwangu ni hii.......yako ni ipi?
 
Khaaaa! Raha gani waipata hapo? Kama si uliberali ni nini?
 
Mdau hana hela ya kununulia toilet paper wala hapendi kutumia maji. Akimaliza shughuli anatumia gazeti ambalo linaonekana kuning'inia hapo.
 
Mdau hana hela ya kununulia toilet paper wala hapendi kutumia maji. Akimaliza shughuli anatumia gazeti ambalo linaonekana kuning'inia hapo.
una macho makali sana
 
nimekosa picha za vinavyonipa starehe ila ni kulala, kuoga in a bath tub na kupuu home lakini sio kokote pale ninapobanwa na haja
 
Back
Top Bottom