Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
kibamba anawachana live. kikwete dhaifu, bunge la magamba wazembe. udhaifu, uzembe siyo matusi.
Namshauri aelakeze mjadala katika ukweli na sio kujipendekeza kwa watawala kama anavyofanya Wiliam Malecela.Baruany Muhuza yuko biased. Maswali yake yanaonekana wazi kupendelea CCM
Dr. Kebwe ana 'facebook yake'.
Mch. Msigwa:
Siasa za tanzania watu wamejijenga katika taswira mbili kama tikiti. Ndani mwekundu na nje kijani. Watu wenye tabia hii ya uwoga hawafai katika jamii. Hii ni kutokana na baadhi ya wabunge wa ccm kukimbia kupiga kura, kabla ya kupiga kura walitoka nje bila taarifa. Mbunge anatakiwa kuonyesha msimamo wake!