Star Tv LIVE: Jicho letu ndani ya habari

Nakubaliana na Kazinja kuhusu kichwa cha habari. Hapo kubenea ameingilia madaraka ya mahakama. Mahakama ndiyo yenye kudhihilisha beyond reasonable doubt, what if mahakama ikimtaja mtu mwingine,

aliyemteka ulimboka ni yule yule aliyempigia simu mara kadhaa akijitambulisha kwa jina la abed,hiyo doubt uliyonayo inatoka wapi ?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kikwete,serikali,ccm, usalama wa taifa na polisi kwa ushirikiano wenu wa dhati hamuwezi kuua watu wote.....muueni na kubenea si mnajua mlimkosakosa na tindikali?
 
Siyo kwamba hakuna waandishi wa habari wenye uwezo kama Saed Kubenea,isipo kua wengi wao ni waoga mno,chukua mfano mdogo sana wa Jerry Muro nayaliyomkuta ameacha kabisa habari za uchunguzi sasa hivi anajikumba kwa wakubwa! Siku zote uandishi wa habari za uchunguzi hua ni wa hatari sana,na huyu Kubenea awe makini sana linaweza kumpata chochote wakati wowote bila yeye kujua,namshauri awe makini sana,
 
Nakubaliana na Kazinja kuhusu kichwa cha habari. Hapo kubenea ameingilia madaraka ya mahakama. Mahakama ndiyo yenye kudhihilisha beyond reasonable doubt, what if mahakama ikimtaja mtu mwingine,

Mahakama haijaingiliwa kimadaraka, kumbuka kazi ya kumsaka mtuhumiwa si ya mahakama, kazi ya mahakama ni kusikiliza shauri liloletwa mbele yake na kulikata, haisemi "huyu hakuiba, mleteni mwingine" huwa hukumu ama husema "upande wa mashtaka umeahindwa kuthibitisha pasipo shaka kuwa mtuhumiwa alitenda kosa" au "upande wa mashtaka umethibitisha pasipo shaka" naona wewe si Mtanzania hasa, utakuwa mkenya weye!!!!
 
Last edited by a moderator:
Me ntakuwa tofauti na wa tz na watu wengine wanaosema kuwa Polisi wamchukulie hatua huyo Ramadhan na wenzie hii ni kweli??
swali dogo lakujiuliza kama wazaz wamemtuma mtoto kaenda kuharibu kwa jiran; hivi jiran akileta mashtaka mtoto ataadhibiwa ipasavyo kweli!!!

Tanzania hatuna Polisi wanaowajibika kwa wananchi,tunao polisi(dolla) ya kulinda chama cha mapinduzi.
 
Halafu wanachokera utasikia, mwandishi bora wa habari za uchunguzi ni fulani na siyo kubenea, Hapo ndo naachwa hoi na mfumo wa utoaji wa TUZO mbalimbali TANZANIA
 
naamini kabisa hizi habari zote ni kweli,sema nchi yetu siku hizi imekuwa inaendeshwa kimabavu ,na hawa usalama wa Taifa hawafanyi kazi zao zaidi ya ubabaishaji na kujiingiza kwenye Siasa.Nina Imani na gazeti la Mwanahalisi na si habari za usalama wa Taifa

mwaaaa!
 
Me ntakuwa tofauti na wa tz na watu wengine wanaosema kuwa Polisi wamchukulie hatua huyo Ramadhan na wenzie hii ni kweli??
swali dogo lakujiuliza kama wazaz wamemtuma mtoto kaenda kuharibu kwa jiran; hivi jiran akileta mashtaka mtoto ataadhibiwa ipasavyo kweli!!!

Tumia basi angalau akili kidogo gody

hawa usalama wa taifa wanamtumaje mtu kufanya kazi ya kufisha kwa utaratibu unaoweza kufuatilika kirahisi kabisa!!!!!!

Polisi hawajafanya print out ya simu ya dr. Ulimboka kujua watu aliowasiliana nao kwa mara ya mwisho mwisho kabla ya kutekwa, deo alimuona huyo waliokuwa wakiwasiliana (rama) je huyu rama kwa kuwa alishuhudia utekaji alifika kituo cha polisi kufuatilia hatma na majaaliwa ya mtu aliyekuwa msaada mkubwa kwake kuumaliza mgomo wa madaktari?

Wameangalia map ya connection hawa watu (rama na ulimboka) kwa mara mwisho walikuwa connected na mnara wa masiliano upi? aliokuwa aki-communicate nao (rama) walikuwa umbali gani network wise, katika kipindi dr. Ulimboka Alituambia "he was very busy communicating) utagundua kuwa wewe ni bongo lala!!!!
 
Kwa nini habari hiyo tu ndo ajielelze kwenye tv? Anajaribu kutetea uzushi wake siyo?

Kengemumaji mnalipwa kiasi gani kutetea uozo huu?mnaweza kuudhibitishia umma kuwa kubenea ni mzushi?siyo kwa kutoa kauli nyepesi zisizo na mashiko.Mnajichoresha sana
 
Wadau ile habari ilivyotoka ilikuwa MOTO sana hata hapa Barazani ilikuwa haitoki ikakaa!
Utawala ulikuwa unaipotezea au link zake hazikubali! nawapa hongera Star TV kwa kuirusha hewani kwa kuijadiri!
 
JOGI!
mimi sio bongolala kama unavyofkilia
labda hukunielewa kama unaamini kilichoandikwa na Mwanahalisi na ku watch * tv leo utajua nini nilimaanisha lkn sio kukurupuka na kutukana wa2!! Habari zilizopo kwamba ikulu inahusika sasa watu wanasema hao wahusika wachunguzwe nan alikwambia mwizi au
mchawi anajitaja?? Yaani serikali ijichunguze inawezekana!'
Kama sio kuleta tamthilia ya kihindi iliyotengezwa na wachina
mixer mkenya alo enda kutubu kawa Gwajima!
si ndo unachotaka??
 
Back
Top Bottom