Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

mabula ni msomi, siyo hao vihiyo akina wenje na kiwia. kilimanjaro wanaweza kumchagua mapunda? ndivyo tulivyowaambia akina kiwia na wenje, huwezi ukamnyima mifupa mbwa wako wa nyumbani ukampa wa jirani, never! "mabula ataendelea kuwa mbunge na wasukuma tutamchagua kwa kura nyingi nyingi, sisi ni wengi
wewe kweli msengerema ,weka mipasho pembeni tuambie huyo mabula anaelimu gani.
 
Huyu jamaa naskia ni 4m 4 Failure!! Nadhani Ubongo wake una matatizo makubwa sana
wala sio form 4 failure hata f4 hakumaliza mabula ni mpumbavu anaubiri ukabila wakati anajua ukweli kuwa wenje ni kiboko yake. Yeye alivokuwa meya alifany nini. Ni wakati ka muda tu ameenda kuonja harufu ya bungeni mahakama itatenda haki na soon tutachukua jimbo arudi mitaani kuzurula huyu mtu hana akiri.
 
Hapo ndo mwisho wa uwezo wa akili yake kutoa mawazo yake
 
View attachment 320192

Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya

Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.

Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.

Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
Huu ubaguzi sijui utaisha lini?
 
kete ya ukabila ilisaidia sana kupunguza kura wenje na kiwia japo bado walishinda na wakaibiwa kura
naomba utambue kura za wenje hazikuibiwa hata moja na ushahidi wote tunao. Yule zakoyo ndo alilazimisha ndo maana tuko kifua mbele ushindi ni wetu na huyu darasa la 7 failure lazima aisome no. Subiri, haki hucheleweshwa tu ila haipotei
 
mabula ni msomi, siyo hao vihiyo akina wenje na kiwia. kilimanjaro wanaweza kumchagua mapunda? ndivyo tulivyowaambia akina kiwia na wenje, huwezi ukamnyima mifupa mbwa wako wa nyumbani ukampa wa jirani, never! "mabula ataendelea kuwa mbunge na wasukuma tutamchagua kwa kura nyingi nyingi, sisi ni wengi
Wasukuma hatuna akili matope kama zako.
 
Hizi ndio tabia chache za viongozi:
*Kiongozi mbambe (bully) & dikteta_huyu ni mtu ambaye ktk utoto wake kuna vitu ambavyo alivikosa na watoto wenzie walikuwa wanavipata,kwa mfano watoto wenzake kufanya vizuri darasani na yeye kushindwa vibaya au watoto wenzie kuwa na maisha mazuri sana kuliko yeye;labda wanavaa vizuri wanapendeza wakati yeye nguo zake ni mbaya zimechakaa,na kadhalika.Hii hali kwa kiwango flani humfanya mtoto huyu kujihisi mnyonge (feeling of inferiority complex),hujiona kama hathaminiwi wala kuheshimika na watoto wenzake Ktk kupambana na hisia za namna hii mtoto huyu anaweza kukimbilia kufanya tabia za kibabe (bullying) ili kuficha mapungufu aliyo nayo,kwa kuwafanyia ubabe wenzie anahisi anaweza kuthaminiwa na kuheshimika na wenzake.Bahati mbaya sana tabia hii huendelea mpaka ktk utu uzima wake,na wengine huingia nazo mpaka ktk uongozi.
*Kuna watu wanaotumia ukabila,dini,ukanda au utaifa kusaka madaraka au kuendelea kuwepo madarakani.Hawa watu mara nyingi wanaududhaifu mkubwa wa kiuongozi au wana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja wakashawishi na hata kuchaguliwa,hivyo njia rahisi kwao ya kufikia malengo yao ni kutumia ukabila,udini,ukanda.

Ni hayo tu.
 
View attachment 320192

Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya

Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.

Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.

Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
Mwizi wa kura katika UBORA WAKE.KABURU MATATA HUYU,Mtu aliyefilisika kimawazo na ambaye si kiongozi bora,atatumia UBAGUZI kama kinga yake.Mabula mimi ni GETEGETE mwenzako lakini hiyo lugha ya kibaguzi siyipendi.Ebu siku ya kesi mahakamani tuletee nakara ya kura ulizopata.Mshukuru LOFA kwa ubabe wake.Huna sifa ya kuongoza wana Nyamagana subili maamuzi ya mahakama kama utachomoka.
 
MABULA unajua asili ya wazazi wako,yaani Mama na Baba yako huko Busega walifikaje.Mawazo madogo yanapoongoza mawazo makubwa.Kwanza unajipu KLINIKI ya Nyamagana mwambie na babu yako KABWE pesa za PPF viwanja vya MAHINA ziko wapi?
 
ukabila upo jamani mabula unamuonea, yaani mzaramo anaweza kuwa mbunge Rorya? haiwezekani, msukuma hawezi kuwa mbunge tarime, achilia mbali mnyamwezi kushinda ubunge pemba. Mkwere kuwa diwani vunjo haiwezekani ni watu wa pwani ndio hawana ukabila na fair play inapigwa. Mmasai kuwa mbunge ntwara, mnyamwezi kuwa diwani bukoba mjini au mchagga kushinda ubunge kyela.

Kama mabula kasema mpongezeni kwa kusema ukweli sio kumtusi, mjanga kuwa diwani Ngonga au Mrisha kuwa Mbunge Serengeti ni zaidi haiwezekani kwa wakati huu ila with time watabadilika.
.
Mbona lema kashinda arusha, mrema aliongoza jimbo dar,mwita mbunge temeke,mnyika kibamba,Dodoma Mjini ilishawahi ongozwa na mchaga,cha ajabu nini we mkabila tu
 
mabula ni msomi, siyo hao vihiyo akina wenje na kiwia. kilimanjaro wanaweza kumchagua mapunda? ndivyo tulivyowaambia akina kiwia na wenje, huwezi ukamnyima mifupa mbwa wako wa nyumbani ukampa wa jirani, never! "mabula ataendelea kuwa mbunge na wasukuma tutamchagua kwa kura nyingi nyingi, sisi ni wengi
Unajidanganya ngosha huna jipya umeambiwa subiri kesi mahakamani.
 
Huu ubaguzi wa kikabila unaotumiwa na CCM kama karata yao ya ushindi ni kitu hatari sana kwa taifa.

Taratiiibu tunaanza kutambuana kwa makabila.
Kama ni mjaluo wa Kenya basi huo mkoa wa Mara uchukuliwe na Kenya.

Kuna wamasai wako Morogoro, Arusha, Manyara na Kule Kenya mpaka S.Sudan wapo sasa na hii mikoa iwe ni part of Kenya.
 
Ana laana ya kudhulumu wafanya kazi wa kampuni yake ya ulinzi pale nera.Na wizi wake ws kura .Na watu wa mwanza nyamagana tuna msubili kwa hamu sana.Na hivi wabonge tuisha someshwa namba atajuta.

Mkuu hata hiyo Kampuni walimtapeli Mhindi wa kiwanda cha Samaki cha TFP yeye pamoja na Jack Masamaki.

Kabla ya kutapeli hiyo Victoria Support alikua ni mpiga doria usiku kukagua malindo ya Knight Support.
 
Usinungunike nenda ujenge uraia huko kisha ugombee utapewa tu uongozi. Tuna mifano mingi watu wazaliwa wa kanda ya ziwa wamepewa uingozi huko kaskazini e.g..
1. Kisyeri chambiri ubunge Babati(mkurya )

2. Marehemu Mawazo diwani Arusha(msukuma)

3. Onyango Yohana Diwani Mererani (mjaluo)
Hao ni wachache kwa mfano na hata Mwz kwa sasa madiwani kwa sehemu kubwa ni watu kuja.
Kagoma, diwani moshi kiboriloni(Mutu ya Kigoma)
 
View attachment 320192

Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya

Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.

Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.

Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
ingependeza kama angeanzia juu yaani aanze na katibu mkuu wake ambaye ni msomali
 
Huu ukabila kwa chama dola ni hatari sana...huyu Mabula anasikitisha sana kwa kauli hizi za kibaguzi
 
Kuna watu bado wanasumbuliwa na imani za kijinga za ubaguzi.
 
Back
Top Bottom