Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

Huyu jamaa naskia ni 4m 4 Failure!! Nadhani Ubongo wake una matatizo makubwa sana[/QUOT!
mmhh kamanda bora ya huyu nadhani. vipi yule wa elimu ya hapa na pale., Kubenea ambaye haijulikani kama kaishia darasa la nne au la saba !alafu anajifanya mwandishi wa habari za uchunguzi.
hivi ukimsikia juzi alivyopopoma bungeni. ni balaa kuwa na watu kama Kubenea. mtu wa ajabu kabisa. ndio maana tunasema wasionyeshe TBC,. wanyukane wenyewe hukohuko hatuna haja ha kuangalia. sisi tumewatuma kazi hatuhitaji kuwa watchdog. tunachotaka ni matokeo tu. watimize ahadi walizotoa kwa wananchi basi.
 
Haingii akilini kumuita mwenzio mkimbizi ili hali anaishi akiwa ni raia na si kwa vibali maalum. Siasa km hizi zitaisha lini Tz?! Ndo maana Wazungu wanatumonitor kwa kila kitu kwa kutuona hatujitambui. Wao wakiisha maliza uchaguzi basi ni kujenga nchi. Sisi tunamaliza uchaguzi majungu ndo yanaanza.
mbona Prof Lipumba aliwaita ccm intarahamwe ? ilikuwa sahihi? ????
 
kete ya ukabila ilisaidia sana kupunguza kura wenje na kiwia japo bado walishinda na wakaibiwa kura
lakini huohuo ukabila uliipa kete chadema na ukawa kanda ya kaskazini tuwe wakweli tunawaonyeshea vidole wenzetu lakini kidole kimoja kinatuonyesha sisi wenyewe. tuambie mchaga gani ambaye alipigia kura ccm badala ya chadema ?????
 
huyu ni kati ya wabunge washamba kabisa na limbukeni wa kutupwa wa kanda ya ziwa , kuingia kwa magufuli ikulu kumemfanya ajione kama Mungu ameibuka kanda ya ziwa , hakuna asiyejua kwamba hakushinda uchaguzi , natabiri huyu kuwa mbunge wa kwanza kabisa kuliaga bunge mwaka huu , ubaguzi ni laana mbaya sana .
Hilo neno "Mshamba" ndio umepatia kabisa kabisa na nadhani hata mjadala huu ungeishia hapo.
 
lakini huohuo ukabila uliipa kete chadema na ukawa kanda ya kaskazini tuwe wakweli tunawaonyeshea vidole wenzetu lakini kidole kimoja kinatuonyesha sisi wenyewe. tuambie mchaga gani ambaye alipigia kura ccm badala ya chadema ?????
Wewe utuambie hao walioshindwa kule wametokea Masasi na kushindwa uchaguzi kwa sababu ni wamakonde? Uwezo wa kufikiri watu sijui umeenda wapi siku hizi! Watu mnaandika andika tuu kama bata anavyojisaidia.
 
Hivi wajaluo hatuna haki hii nchi!??? Ubaguzi wenu mnaojiona watanzania halali umenichefua vya kutosha... Ukitaja jina tu watu wanakuangalia in some cautious way... Aaaaargh
 
Wewe utuambie hao walioshindwa kule wametokea Masasi na kushindwa uchaguzi kwa sababu ni wamakonde? Uwezo wa kufikiri watu sijui umeenda wapi siku hizi! Watu mnaandika andika tuu kama bata anavyojisaidia.
Watoto wa siku hizi hao.
Watoto wa google, hawaumizi kichwa tena kufikiria jambo.

Ndiyo huyo mbunge nae yuko hivyohivyo kama huyo aliyepost huo ujinga wake hapo.
 
Dah! kumbe jamaa anatugawa wananyamagana kiasi hichi!!!
Sasa mbona hawa wajaluo ndo tumemshindisha kwa kura zetu maana wasukuma-**** wenzio waliokuwa people's, ataongoza miaka 5!!!

Mabula stop racism and tribalism, you can not bring development in nyamagana constituency by separating ur people.
Wasukuma-**** wenzio tu hawatoshi!!
 
Arusha na Moshi kule no kwa watu waliosoma na kuelimika hawadanganywi kirahisi.Uamuzi mmoja na wa maana kyumbishwa mwiko.
 
.
Mbona lema kashinda arusha, mrema aliongoza jimbo dar,mwita mbunge temeke,mnyika kibamba,Dodoma Mjini ilishawahi ongozwa na mchaga,cha ajabu nini we mkabila tu

Dar wameendelea sana na watu wapwani ndio hao wakupigia mfano arusha uliza wakaazi wake ni kinanani. Miebsijatoa mada mchango wangu ulikuwa msimtukane mtoa mada ukabila Tanzania ni mkubwa sana Mabura ni tone tu!
 
View attachment 320192

Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya

Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.

Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.

Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
people with little education are very dangerous! huyu Mabula is an imbecile.
 
Wabunge kama hawa hawafai kabisa.
This guy is not thinking beyond his nose , kama wenje ni mkimbizi vipi wapi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?
Siasa za ukabila hazifai kabisa, hata mwalimu alikemea jambo hili.
Huyo mabula naona siku zake za ubunge zina hesabika bungeni.
 
Hivi mkimbizi na Jambazi ni yupi bora? Hapo alipo anatumia CCM kama kinga ipo siku ukweli juu yake utakuwa wazi na hapo ndipo atakapojua kuwa ukimbizi wa Wenje sio tatizo tatizo ni yeye.
 
Mwambie ubaguz xio dili kwanza anaongea hvyo wakat kes inaendelea mahakaman kes ya jimbo lake aache upuuz wake hamna mzawa hapa bongo wote wa kuja
 
Back
Top Bottom