Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

Kama hilo unalolisema la wabunge kuwa na kinga kwa yale wansyoongea, nijulishe ni kwa nini siku chache zilizopita, baada ya wabunge wa upinzsni kuomba mwongozo na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge kuwachunia, badala yake siyo tu iingizwa FFU mle mjengoni bsli pia waliingizwa mbwa wa Polisi mle bungeni, utadhani hao Polisi walikuwa wakipambana na majambazi!
Hapo walichokifanya ilikuwa ni mwendo wa ubabe mwanzo mwisho
 
Mheshimiwa wenje pale kamanga si bado pako wazi(mahakamani)muvuzisha hoja kwa pilato due to mocked words.
 
Kesi dhidi ya Mabula bado inaunguruma Mahakamani sijui kama atapona.
 
Inajulikana kuwa CCM walitmia Sana ukabila kanda ya ziwa ....hadi kufikia wagombea wengine hadi wa urais kuongea kilugha jukwaani....kwa kuwa uchaguzi umepita Sio busara kuendeleza hizo sentiments za kibaguzi
Vipi arusha na moshi chadema walitumia nini? maana hakuna tena ccm huko.
 
Sisi ni watu wa mwanza ila ukabila hatutaki.Kwanza ni mji wa wazinza siyo wasukuma.wasukuma ni shinyanga.
 
Ana laana ya kudhulumu wafanya kazi wa kampuni yake ya ulinzi pale nera.Na wizi wake ws kura .Na watu wa mwanza nyamagana tuna msubili kwa hamu sana.Na hivi wabonge tuisha someshwa namba atajuta.
walinzi wote mliodhulumiwa ni wakati sasa wa kujitokeza kudai chenu .
 
Mbona kama anasura kama ya wanyarwanda huyo anayejiita mabula isije ikawa yeye ndo mkimbizi alinunua jina

Mabula mwenyewe japo ni msukuma lakini si mzaliwa wa Nyamagana kama alivyo Wenje. Mabula ni mzaliwa wa Busega mkoani Simiu , hivyo hata yeye ni mgeni pia kama alivyokuwa Wenje ambaye ni mzaliwa wa Rorya mkoani Mara

Mwanza jiji limeshavuka siasa za ukabila ni kama ilivyo Dar huwezii kusema mbunge mpaka awe Mzaramo . CCM chezeni siaSa zisizo za kibaguzi kwani waTz tunategemeana. Ajabu kubwa mtu akigombea kwa tiketi ya CCM hata akiwa Mhindi, Mwarabu Chotara etc ataonekana KADA & MZALENDO. Kosa ni pale anapogombea ktk vyama vingine ataanza kuulizwa kabila na dini yake.

Mabula anajua vizuri bila magari ya deraya na curfew ya kijeshi asingepita. Kama anadhani anaweza kumshinda wenje kuwe na fair by election aone
 
Nilikua naishi Nyegezi, Nyamagana, sikumpigia kura huyu mtu. Failure huyu mi wa nini?
 
Vipi arusha na moshi chadema walitumia nini? maana hakuna tena ccm huko.

Usinungunike nenda ujenge uraia huko kisha ugombee utapewa tu uongozi. Tuna mifano mingi watu wazaliwa wa kanda ya ziwa wamepewa uingozi huko kaskazini e.g..
1. Kisyeri chambiri ubunge Babati(mkurya )

2. Marehemu Mawazo diwani Arusha(msukuma)

3. Onyango Yohana Diwani Mererani (mjaluo)
Hao ni wachache kwa mfano na hata Mwz kwa sasa madiwani kwa sehemu kubwa ni watu kuja.
 
View attachment 320192

Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya

Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.

Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.

Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
Sitaki kuamini kama maneno haya ninayoyaona hapo juu yamesemwa na mbunge ambaye kimsingi ameapa kuilinda katiba ya nchi inayopiga vita ubaguzi wa aina yeyote. Nashangazwa zaidi pale ninapoona kauli za kibaguzi zikitolewa na wabunge na kwa upande mwingine sioni chama chao kukemea. Tukianza kuzungumza na kuamini hayo aliyoyasema huyo mbunge hapo juu then wengi hatuko salama maana wengi wetu hatuishi katika maeneo tulikozaliwa. Sasa hapa inakuwaje. Nitoe la mwisho: Wenje alikuwa mbunge jembe, matarajio yetu huyu wa sasa aje na vitu ambapo mwisho wa siku sote tutamkubali. Wenje alikuwa jembe na mwisho wa kipindi hiki watu watatambua kwamba walifanya makosa kutomchagua Wenje.
 
Usinungunike nenda ujenge uraia huko kisha ugombee utapewa tu uongozi. Tuna mifano mingi watu wazaliwa wa kanda ya ziwa wamepewa uingozi huko kaskazini e.g..
1. Kisyeri chambiri ubunge Babati(mkurya )

2. Marehemu Mawazo diwani Arusha(msukuma)

3. Onyango Yohana Diwani Mererani (mjaluo)
Hao ni wachache kwa mfano na hata Mwz kwa sasa madiwani kwa sehemu kubwa ni watu kuja.
Huko ndio arusha na moshi! We kweli ni Odhiambo mabeel!
 
We kweli somo la jiography uliwahi kuisoma japo kidogo ?????!! , Arusha ni wapi kama si kaskazini na je Merirani ni wapi kama si huko na Babati mjini ni wapi mkuu kama si huko????? Au wewe kaskazini inajuwa ni wapi ?! Na hiyo nimekupa mifano hai isiyo na ulaghai. Acheni siasa za kibaguzi fanyeni sera muwavutie vijana

Mimi wanangu wote wameoa usukumani hawa wajukuu zangu nitawaangaliaje kama sehemu ya wazazi wao wanabaghuliwa ??????!
 
View attachment 320192

Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya

Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.

Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.

Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
Huyu mbunge wenu Mabula ana maanisha kuyajua sana matatizo ya wananyamagana ambayo ni pamoja na ukimbizi wa Wenje! Maana tayari keshaanza kuyatatua matatizo ya wananyamagana. Jamaa tatizo sana labda tutafute CV yake kwanza itusaidie kumjaji.
 
mabula ni msomi, siyo hao vihiyo akina wenje na kiwia. kilimanjaro wanaweza kumchagua mapunda? ndivyo tulivyowaambia akina kiwia na wenje, huwezi ukamnyima mifupa mbwa wako wa nyumbani ukampa wa jirani, never! "mabula ataendelea kuwa mbunge na wasukuma tutamchagua kwa kura nyingi nyingi, sisi ni wengi
 
Kwamba ni msomi ngoja niweke akiba ya maneno
 
View attachment 320192

Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya

Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.

Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.

Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
Mbona kama hayupo sawa huyu, aisee kwa sisi wataalamu wa mambo namuona kijana huyu kama alishawahi cheza michezo ya kuhatarisha mustakabali wa kiume mmh anyway
 
Back
Top Bottom