View attachment 320192
Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya
Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.
Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.
Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
ondoa shaka , huyu hana maisha bungeni , nimeona kesi yake kuna vipengere vinne tu vitakavyomvua ubunge ( yaliyo mahakamani hayaruhusiwi kujadiliwa ) , hata ccm wenzie hawamtaki kabisa . ana dharau za kishamba sanaTundu Lisu tufungie kazi huyu boya kwenye kesi yake
Mkiacha kuwaita akina Kinana, Bashe nk wasomali basi utakuwa na haki ya kulalama hiviView attachment 320192
Akichangia hotuba ya Rais,Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh.Stanslaus Mabula amesema kosa walilolifanya watu wa Nyamagana kwa miaka mitano ni kuchagua Mbunge mkimbizi ambaye hajui matatizo ya Jimbo lake kwa ugeni wake na ukaazi wake wa Kenya na Rorya
Hapo Mbunge mkimbizi aliyekuwa nalengwa ni Mh.Ezekia Wenje ambaye toka mwanzo wa uchaguzi wa 2010 na hizi za 2015 zilijawa na Ukabila na lugha za kibaguzi kuwa ni mtu wa Kenya na mjaruo wa Rorya hawezi kuja kuwaongoza wasukuma.
Hali hii imedhihirishwa na Mbunge wa sasa wa Nyamagana ambaye aliamua kutoa kauli hiyo ya kibaguzi ndani ya bunge.Tabia hii ya siasa za kibaguzi zilitawala sana ktk uchaguzi wa wabunge ktk Mkoa wa Mwanza,ambapo hata baada ya uchaguzi huo kuisha bado zinaendelezwa.
Tukemee mbegu hizi za ubaguzi wa kikabila ktk siasa za bunge na nje ya bunge.
Wahuni tu hawa. CCMsasa bila aibu wala nini ccm imeishiwa maana imeanza kutangaza ukabila zenj na sasa bara
Kama hilo unalolisema la wabunge kuwa na kinga kwa yale wanayoyaongea, nijulishe ni kwa nini siku chache zilizopita, baada ya wabunge wa upinzani kuomba mwongozo na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge kuwachunia, badala yake siyo tu waliingizwa FFU mle mjengoni bali pia waliingizwa mbwa wa Polisi mle bungeni, utadhani hao Polisi walikuwa wakipambana na majambazi!Chochote anachoongea mbunge bungeni ana Kinga, huwezi kumfanya chochote kile