Stanbic wamegoma kutoa orodha ya waliochukua

Stanbic wamegoma kutoa orodha ya waliochukua

Tuta ichua bank na kuifanya ya serikali,pah 1 na kutaja majina yote ya yaliyo chukua fedha stanbic.
 
Kwa kuwa Stanbic wamegoma, na Inaonekana wana baraka za wakubwa flani kutoitoa orodha, je Hakuna sheria za nchi zinazoweza kuwalazimisha kutoa hiyo list? Japo majaji wetu nao walikula cha juu lakini nahisi kutakuwa na taratibu kama sio za hapa basi hata kimataifa.

Hakuna sehemu tunaweza kuishtaki stanbic wakatoa ile list?

Na akili yangu inanituma kwamba ujio wa Zuma ulikuwa na kitu flan kuhusu Escrow kwa sababu stanbic ni member wa standard bank ambao ni South Africa based.

Ebu tuchangamshe akili hapa.

Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. So majina yote yatatoka hadharani pindi baada ya uchaguzi mkuu baada ya UKAWA kuchukua nchi na kuingia magogoni rasmi
 
Kwa kuwa Stanbic wamegoma, na Inaonekana wana baraka za wakubwa flani kutoitoa orodha, je Hakuna sheria za nchi zinazoweza kuwalazimisha kutoa hiyo list? Japo majaji wetu nao walikula cha juu lakini nahisi kutakuwa na taratibu kama sio za hapa basi hata kimataifa.

Hakuna sehemu tunaweza kuishtaki stanbic wakatoa ile list?

Na akili yangu inanituma kwamba ujio wa Zuma ulikuwa na kitu flan kuhusu Escrow kwa sababu stanbic ni member wa standard bank ambao ni South Africa based.

Ebu tuchangamshe akili hapa.
watatoaje wakati state house yote imo humoo, hela za stanbic ni chafu na ndomana hazionyeshi. za vip ni safi na ndomana zinaonyeshwa kweupe.
 
Wanufaika wa bilioni 16 za Rugemalira kupitia akaunti ya mkombozi bank walishajulikana.

Tunataka kuwajua wanufaika wa bilioni 73 za Singasinga kupitia akaunti ya Stanbic.Hawa ndiyo waliobeba pesa kwenye masandarusi.
 
Attachments

  • 1423010759849.jpg
    1423010759849.jpg
    27.3 KB · Views: 309
Labda mpaka atokee mmoja aseme kuwa naye alizipokea fedha hizo; In good Faith. Atakuwa ametibua nyongo ila kama ni kelele zenu, sidhani kama itawezekana.
Hata ushahidi sasa umeshapotea nasi hatuna mkataba na Stanbic Bank wa kuonyeshana account za wateja.
 
Hili nalo la kupigwa hela kimya limewezekana.
 
aaaah!!! inaumizaaa!! yaaaani wasakatonge tunaumia halafu eti benk inashindwa kutoa majina!! lusuuuni nguvu ya umma tuwakamate ss.
 
Nawaza juu ya shule ambazo hazina madawati, maabara, na vyoo. Madai ya walimu hayasikilizwi, sipati jibu hawa wezi watafanya toba ya aina gani siku ya kiama waepuke jehanamu.
 
Sawa mnafikiri kuwa ndio watu watakosa imani nao kwa kwa uongo wenu wa upepo?
 
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Mkuu ulitaka KUSEMA mbowe?, Pole sana. Nina uhakika asilimia 100% Hujapata pesa za ESCROW, Ila wewe ni taahira tu ndio maana unatumika kama gunia la deki.
 
Nani amesababisha majoka yenye makengeza yaliyoiba fedha za Escrow stanbic bank yasijulikane...Kutakuwa kuna siri nzito..nani atawafunua nyuso haya majoka tuyaone....Kama akitokea mgombea wa CCM akayaweka hadharani haya majoka chongo...nina hakika watanzania wengi watamuunga mkono kwenye urais
 
Back
Top Bottom