Stanbic wamegoma kutoa orodha ya waliochukua

Stanbic wamegoma kutoa orodha ya waliochukua

Kuna fununu kuwa hilo BOMO litatolewa ktk campaign za lala salama wakati wa uchaguzi 2015! Hapo ndipo nchi itapata pigo la karne!!

It's good to have an arsenal of unique talents with which you can distinguish yourself.
 
Tanzania tunayoitaka
-kuwe transparency and accountability
-To be responsible to your country.hila toka nipate akili CCM chama chenye zamira njema na nchii baada ya kufanya mikataba mibovu kutawala huku wakiacha sheria pemben(dictatorship) leo hii watoe majina ya mafisad mhh labda nchi imebadirika s dhan kama CCM wanadhamira njema kiac hicho tusahau.

We are content with mediocrity and don't strive for more.
 
yakiwekwa hadharani nchi itayumba na kumbuka kumbadilisha waziri mkuu ni jambo la kawaida ila kubadili rais ghafla lazia nchi iyumbe, so tusiombee yawekwe wazi
 
HIVI mbona sijaona jina muislam wala shehe kwenye wizi wa escrow au hawajuwi kula dili?
 
Mainchaji manyota wote wamebeba fedha kwenye magunia,seth hadinder anawajua wote aliowapa fedha kwenye rambo na visandarusi.
 
Ivi Kweli Wadau Hawa Jamaa Ndo Wamegoma Kuyatoa Haya Majina? Isijekua Kua Kina MUHONGO Nao Wamo Kule Sio Kujisafisha Kua Hajatajwa Popote Na Report Ya CAG Kua Nae Kapata Mgao. Wananchi Tutaaminije Maneno Yake Endapo Miamala Ya Malipo Iliyofanyika Stanbik Bank Haijulikani? Au Kapatia Mgao Kule Sisi Hatujui Chochote Tu?

Stanbic ilitumika tu,ukweli ni kwamba Lori la BOT lilipeleka ile pesa ktk viwanja vya yule jamaa jirani na Stanbic Kinondoni na toka hapo watawala wakagawana kama majambazi!
 
Stanbic ilitumika tu,ukweli ni kwamba Lori la BOT lilipeleka ile pesa ktk viwanja vya yule jamaa jirani na Stanbic Kinondoni na toka hapo watawala wakagawana kama majambazi!

Kama ingekuwa hivyo hii isingekuwa nchi tena bali kichwa cha mwendawazimu. Ila iko siku ukweli utajulikana.
 
We ngoja utawaona watu wakikutukana kwa wivu na raisi wao bora pale magogoni.
 
Kuna majina ya Mama Wana na akina Kikwete, yakiwekwa hadharani Ikulu hakutalalika.
 
karatasi ya majina ilitoka pinda akairukia akaitafuna tafuna akaimeza ma maji!
 
Ivi Kweli Wadau Hawa Jamaa Ndo Wamegoma Kuyatoa Haya Majina? Isijekua Kua Kina MUHONGO Nao Wamo Kule Sio Kujisafisha Kua Hajatajwa Popote Na Report Ya CAG Kua Nae Kapata Mgao. Wananchi Tutaaminije Maneno Yake Endapo Miamala Ya Malipo Iliyofanyika Stanbik Bank Haijulikani? Au Kapatia Mgao Kule Sisi Hatujui Chochote Tu?

Ukipata kuyajua hayo majina utafanya nini?. Majina ya waliochukua mgao Mkombozi bank umeyajua je umechukua hatua gani?. Ndugu yangu kaa kimya na kula ugali wako acha kupiga kelele zisizo na maana.
 
Watanzania bhana bora tuendelee kubuluzwa na kuhibiwa,hiv kwel mtu anasema tukitajua majina tufanyaje?hili hiweje bado sana.
 
Ukipata kuyajua hayo majina utafanya nini?. Majina ya waliochukua mgao Mkombozi bank umeyajua je umechukua hatua gani?. Ndugu yangu kaa kimya na kula ugali wako acha kupiga kelele zisizo na maana.

Mkuu/dogo Unamaanisha Kwamba Aliyepata Kapata, Aliyekosa Kakosa? Basi Kama Wananchi Wote Wana Mawazo Kama Ya kwako Basi Hili Taifa Litasubiri Sana Malaika Wa Mbingu Kuja Kulisongesha Mbele. Mnyonge Hua Hachoki Kuuliza Mpaka Ananyongwa.
 
Hayo majina yakitajwa nchi itatisika waliiba hizo pesa ni malaika wa ccm escrow ni zao la rushwa ndani ya ccm kutimiza miaka 20 ya kuhalalisha rushwa ndo Sera yaccm
 
Makao makuu ya Stanbic Bank ni South Africa...sikuile mlisikia Raisi Zuma aliitwa Gafla ikulu yetu nawakawa nakikao cha faragha na JK....maneno haya sio yangu JK alisema mwenyewe siku ile anaongea na wazee wa darasalama. Swali unajua walijadili nini? ..Majina yasitolewe maana ingekuwa aibu ya mwaka kwa JK kuhusishwa familia yake.so tutayajua tu haka kajamaa kakitoka ikulu, no secret under the sun. Sasa tatizo linaweza likawa kwenye hayo majina wamo pia waliotangaza nia za Uraisi watu wakakosa nafasi yakuwasulubisha
 
Ukipata kuyajua hayo majina utafanya nini?. Majina ya waliochukua mgao Mkombozi bank umeyajua je umechukua hatua gani?. Ndugu yangu kaa kimya na kula ugali wako acha kupiga kelele zisizo na maana.
Tutawanyonga hadharani Wote na pesa zetu lazima zitarudi
 
Back
Top Bottom