Hivi source ya taarifa yako ni nini? Mbona unapiga porojo kama uko kijiweni? Nani kakwambia kuwa Stanbic Benki wamegoma? Unajua sheria inayoongoza mabenki inasemaje kuhusu disclosure ya taarifa za kijinai kwa vyombo vya uchunguzi? PatheticNi maajabu sana eti wamegomea CAG, PCCB .?haya Ndio maajabu mengine Ya tanzania
. Ikiwa bank zote zinaoperate chini Ya BOT watagoma je
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Mkuu Tanzania tunaserikali ya kushughulikia wapinzani tu si kulinda maslahi mapana ya umma.sema tu watanzania tunamoyo otherwise kingekuwa kishanuka
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
kuna uzi ulikuwako jana usiku ukitaja baadhi ya wanufaika nashangaa siuoni tena
Hivi source ya taarifa yako ni nini? Mbona unapiga porojo kama uko kijiweni? Nani kakwambia kuwa Stanbic Benki wamegoma? Unajua sheria inayoongoza mabenki inasemaje kuhusu disclosure ya taarifa za kijinai kwa vyombo vya uchunguzi? Pathetic
Kumbe Mbowe ananguvu za kimamlaka kumzidi mtukufu Prof. Dr Jakaya Mrisho Kikwete?
Hongera Chadema kuwa na mwenyekiti imaea!
Stanbink na Standard Charterd ni benki mbili tofauti.
Kama great thinker unatakiwa ufanye utafiti kabla hajaandika thread yenye tuhuma nzito kama ulizozitoa.Tuwekee sheria Kaka
Mi sio great thinker. Ni Mtanzania wa kawaida kwa kweli. Nyinyi ndio mtuwekee sheria hapa tuache kujadili uongo na kutukanana.Kama great thinker unatakiwa ufanye utafiti kabla hajaandika thread yenye tuhuma nzito kama ulizozitoa.
Stanbink na Standard Charterd ni benki mbili tofauti.
Kwenye Orodha ya Stanbic na Mbiwe yumo. Ndo maana hali iko hivyo
Nani kasema? Hapa nchini tuna benki hizo mbili Stanbink na Standard CharteredAmesema Standard bank Sio standard chartered bank
Don't panic, go back and read the link carefully.Nani kasema? Hapa nchini tuna benki hizo mbili Stanbink na Standard Chartered
Nani kasema? Hapa nchini tuna benki hizo mbili Stanbink na Standard Chartered