Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,863
- 3,058
Lazima waone cashflow hao sio hivihiviWaulize utaratibu MANA wamedai ni SIMU yako tu SIO lazima UENDE KWENYE matawi Yao hofu YANGU ni riba
Kwishaaa
Lazima waone cashflow hao sio hivihiviWaulize utaratibu MANA wamedai ni SIMU yako tu SIO lazima UENDE KWENYE matawi Yao hofu YANGU ni riba
Kwishaaa
Sidhani kama ni kweli mkuu, hakuna benki itakayorisk kiasi hicho hasa kwa watanzania tusiopenda kulipa madeniMkuu wamesema SIO MPAKA UENDE KWENYE tawi lao we na simu yako tuu
Kwishaaaaa
No watafute uwaulize SIJUI wanatumia utaratibu UPI kuwanasa ILA WAO kupitia clouds tv NDO wamesema. Nakusisitiza KUWA walengwa ni WATU WA chini bodaboda, mama lishe nk KUPEWA HADI milioni Tano. Haina haja KWENDA huko watafute. ILA mi nashauri KWENDA tawini SI unajua wizi kibaoSidhani kama ni kweli mkuu, hakuna benki itakayorisk kiasi hicho hasa kwa watanzania tusiopenda kulipa madeni
Lazma uwe na card yao?*150*29#
Kwishaaaa😃😃😃Bro Alex on de beat
Hao nmb kuna kitu wamekiona kwako kwamba pesa yao wataipata tu.Mbona NMB tunachukua mpaka milioni bila dhamana! Na riba yake ni ndogo kuliko akina Songesha, M PAWA na mgodi. Mfano mara ya mwisho nimechukua 390,000 kasoro na riba yake haikufika 40,000.
Na wale hawapigi simu wala meseji za usumbufu kama wa wale wahuni wa mtandaoni. Hata ukichelewesha siku 1 hawakupigi penalti.
NMB toka mwaka juzi sijui tunachukua MSHIKO FASTA, ila sio wateja wote, ni wale wanaofanya miamala ya mara kwa mara na uwe unalipa kwa wakati. Nina mwaka wa tatu nakopaga tu nikiwa na dharura.Hao nmb kuna kitu wamekiona kwako kwamba pesa yao wataipata tu.
Narudia:Benki haiwezi kumpa mtu pesa kienyeji,
Bank never loose
Utalatibu ukoje kiongozi jinsi ya kukopa nmb maana ninayo account ila na mda sijatumia kwenye pesa vp naweza kupata mkopoNMB toka mwaka juzi sijui tunachukua MSHIKO FASTA, ila sio wateja wote, ni wale wanaofanya miamala ya mara kwa mara na uwe unalipa kwa wakati. Nina mwaka wa tatu nakopaga tu nikiwa na dharura.
1. Lazima akaunti iwe activitie unatumia mara kwa maraUtalatibu ukoje kiongozi jinsi ya kukopa nmb maana ninayo account ila na mda sijatumia kwenye pesa vp naweza kupata mkopo
Marejesho siku 30 na huna biashara Wala dhamana? Wacha mzaha
Ukiitiwa fursa wewe ndio fursa yenyeweWAKUU kweli sisi ni NDUGU na tunaishi kama famila? Mbona hatuambiani madili kama haya. Inasemekana haitaji uwe na kiwanja au dhamana yoyote ni wewe na simu yako tu. Unavuta hadi milioni Tano, Na watu hata hamsemi imenisikitisha sana. Acheni roho mbaya tupeni utaratibu.
Kwishaaaaa
Huamini au ni uongo?Marejesho siku 30 na huna biashara Wala dhamana? Wacha mzaha
Nmejaribu kufuatilia huo mkopo, sizani kama una utofauti na kausha damu. Marejesho ni kwa mwezi mmoja tu, yani siku 30. Nikahairisha kuendelea na utaratibu. Ila kama hali itaendelea kuni taiti no way out tutajuananao hukohuko.Ukiitiwa fursa wewe ndio fursa yenyewe