Stanbic bank: Mkopo bila dhamana yoyote

Stanbic bank: Mkopo bila dhamana yoyote

We mkali inaonekana umepanic sana hii hii asubuhi umeanzisha uzi wa Chris brown kuja mkapa hujatulia unatulea uzi wa stanbic dah unatuonea.
No muda kikwazo, linalo wezekana Leo lisingoje KESHO


Kwishaaaaa
 
When the deal is too good think twice.
Mkuu nasikilizia riba, HAPO ndo pananipa mashaka na hili dili tamu na Bora katika maisha YANGU YOTE ya upambanaji.


Kwishaaaaa
 
Toa abc ya ulichopata ili na sisi wajasiliamali tukajipe
Mkuu SI NME summarize HAPO JUU KWAMBA wacheki on line KUPEWA mkopo SI lazima UENDE KWENYE matawi ni SIMU yako tu unakamilisha KILA kitu MPAKA KUPEWA mkopo, unao FIKA HADI milioni Tano. Bodoboda. Mama lishe, wauza vigenge MPAKA wauza nyanya wanapewa ukikidhi vigezo bila dhamana yoyote.


Kwishaaaaaa
 
Benki za Tanzania bila dhamana ya kuaminika hata buku jero huwezi kukopeshwa.
Labda kama na wao wamejiunga kwenye ile mikopo ya kitapeli ya mitandaoni ambayo mwisho wake ni mauti kwa mkopaji
Mbona NMB tunachukua mpaka milioni bila dhamana! Na riba yake ni ndogo kuliko akina Songesha, M PAWA na mgodi. Mfano mara ya mwisho nimechukua 390,000 kasoro na riba yake haikufika 40,000.
Na wale hawapigi simu wala meseji za usumbufu kama wa wale wahuni wa mtandaoni. Hata ukichelewesha siku 1 hawakupigi penalti.
 
Mbona NMB tunachukua mpaka milioni bila dhamana! Na riba yake ni ndogo kuliko akina Songesha, M PAWA na mgodi. Mfano mara ya mwisho nimechukua 390,000 kasoro na riba yake haikufika 40,000.
Na wale hawapigi simu wala meseji za usumbufu kama wa wale wahuni wa mtandaoni. Hata ukichelewesha siku 1 hawakupigi penalti.
Haya NDO mambo nayo yakemea, we SIKU zote UNACHUKuA mkopo WA kitonga kama huo usha wahi KUJA kutushtua? au ubinafsi TU. Mi SIKUJUA kama huwa wanatoa mkopo WA hivo na juzi TU Kuna member humu ameleta Uzi akitaka apewe msaada benki zenye riba nafuu na utaratibu MZURI WA mkopo.

Kwishaaaa
 
WAKUU kweli sisi ni NDUGU na tunaishi kama famila? Mbona hatuambiani madili kama haya. Inasemekana haitaji uwe na kiwanja au dhamana yoyote ni wewe na simu yako tu. Unavuta hadi milioni Tano, Na watu hata hamsemi imenisikitisha sana. Acheni roho mbaya tupeni utaratibu.


Kwishaaaaa
No Free Lunch!!!
Hizi benki za rangi za bluu bluu--stanbic,standard chartered,barclays--utajikuta unalia mwenyewe.
Mimi yalishanikuta--siendagi kabisa kwenye hizi benki za bluu bluu.
Utakuja kuniambia.
 
Lazima uwe na account yao,uwe imeitumia kwa walau miezi 6.
 
No Free Lunch!!!
Hizi benki za rangi za bluu bluu--stanbic,standard chartered,barclays--utajikuta unalia mwenyewe.
Mimi yalishanikuta--siendagi kabisa kwenye hizi benki za bluu bluu.
Utakuja kuniambia.
hofu yangu ni riba zao nasubiri utaratibu wao ili nione kama UKO fair


Kwishaaaa
 
Upumbavu tu. Lipia tangazo kwanza.
Nilipie tangazo? naanzaje kwa MFANO? kama nani haswa? KUWA basi mkuu HIZI ni harakati zakukwamuana kiuchumi juzi hapa Kuna mtu ameomba msaada wa taasisi za mikopo haya ndo majibu we unaanza ujuaji tena. Ukishiba tambua wengine wana njaa kaka vidole havilingani we unaona cha nini sisi wengine twawaza tutakipata lini


Kwishaaaa
 
Mkuu heshima!Nina wasiwasi kidogo hakuna fedha rahisi kiasi hicho
Screenshot_20250730-112021.png
 
Mkuu HAPO KWENYE SIKU 30 mmhhhhh. Waseme ikitokea umefeli kurejesha ni kifungo kinahusika au MANA sijaweka dhamana yoyote na hawajui hata naishi wapi.


Kwishaaaaa
 
Back
Top Bottom