Staili gani ukicheza unainjoy sana?

Staili gani ukicheza unainjoy sana?

Alhajii Alhajii....kudududu dududu.......
 
hahahaha lol! rafiki nimecheka sana 🙂🙂

rafiki si unajua sisi asili yetu wapi?
kule kwetu hizo ndo ngoma zetu.....
huwa nachukia sana nikienda disco au harusini basi nyimba za bondeni zikipigwa tu watu wanajipanga kucheza kwaito.... hizo ndo staili zake sasa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
nlishawahi kujaribu Gangnam style nikateguka kiuno.
 
Kuna huu wimbo wa Brenda Fassie RIP. Wenyewe wa bondeni hawauchezi vizuri kama Wabongo. Wabongo wengi wana rythm ya muziki na pia hucheza kwa madaha. Sasa wakuchezee wimbo huu kwa kujipanga mstari wanaenda mbele mara mbili na kurudi nyuma mara mbili kisha kuzunguka kwa madaha raha tupu!!! Ndio maana mie sehemu za kujirusha sikai mbali na dancing floor kwa kupenda kucheza na pia kuangalia watu wakifanya vitu vyao ingawaje baadhi huwa ni vichekesho na ni burudani tosha ya aina yake lol!!

ndo hiyo kwaito sasa ninayokuambia....
wabongo kila wimbo wenye rhythm ya bondeni wanajipanga foleni na kucheza kwaito, hata kama siyo kwaito
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom