Staa wa bongo akiri kuliwa uroda na wanaume 10

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Muigizaji wa Filamu hapa Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack wa Chuzi' ametoa kali ya mwaka baada ya kuamua kuanika idadi ya wanaume aliowahi kula nao urojo tangu awe supastaa.Msanii huyo alifikia hatua hiyo alipokuwa katika mahojiano maalum na mwandishi wa GLOBAL PUBLISHER na kutakiwa kutoa ufafanuzi wa juu ya taarifa zilizozaga kuwa, kuna mwanaume kajitokeza anataka kumchukua jumla jumla.Katika kutoa ufafanuzi wake, Jack alikiri kuwepo kwa mpango wa kutaka kuingia katika maisha ya ndoa na mwanaume aliyemtaja kwa jina moja la Jojoz na kuweka wazi kuwa,huyo ni mwanaume wake wa kumi katika maisha yake ya kimapenzi.
 
Cha ajabu nini? Mahusiano wakati wote ni trial and error. Mbona hatuhesabi wala hatusemi one night stands na wasichana wa kila aina wanaume mnaowabadilisha? Je tungeomba orodha ya wanawake uliyowahi kutembea na hawatazidi kumi?
Heri ya huyu ambaye ni muwazi!
 
Cha ajabu nini? Mahusiano wakati wote ni trial and error. Mbona hatuhesabi wala hatusemi one night stands na wasichana wa kila aina wanaume mnaowabadilisha? Je tungeomba orodha ya wanawake uliyowahi kutembea na hawatazidi kumi?Heri ya huyu ambaye ni muwazi!
na wewe nawe ni wale wale............
 
kwani huyo jack wa chuzi ana umri gani?

kama ni zaidi ya miaka 18, mbona anao uhuru wa kula
uroda na ndume zaidi ya hiyo idadi?

mwacheni binti wa watu akue kwa staili anayoitaka lol
 
duh! Huyo ni muongo kumi tu! Kwa maisha haya ya kibongo. Kwanza ana umri gani? Wakati anasoma alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na watu wangapi? Baada ya hapo? Hiyo kumi kapunguza saana idadi ni very rare kumkuta msichana ana ka 25 yrs afu kasema katembea na less than 15, sio ka namnanga ila ndo hali halisi ya bongo ukiwa kijana mahitaji ni mengi na mafataki yako ya kutosha yana mbinu nyingi saana so angekuwa muwazi tu wala tusingemuona malaya tungemuelewa kwan ndo hali halisi
 
hakuna cha ukweli hapo....10 times 3= ? jibu hili ndio kidogo litaendana na ukweli..mwanamke au mwanaume yeyote anaetamka kwa mdomo wake idadi ya wapenzi aliowahi kutembea nao, unatakiwa uzidishe mara 3 then utapata figure inayoleta picha kamili, anaebisha na aendelee kubisha ila hiyo ndio reality.
 
Ni sehemu ya mchezo! Hakuna cha ajabu, unless watu hawaelewi maana ya BBA.
 
na wewe nawe ni wale wale............
Laiti kama ungenijua mimi ni nani wala usingethubutu kutoa maneno ya rejareja. Inaelekea wewe bado ni mtoto sana na hivi vitu vinakushangaza. Kama mtu mzima ninasema 'kua uyaone'. Haya ya wanaume kumi tena kwa uwazi huo ni kitu kidogo sana! By the time you are of age if at all you will ever be hutashangazwa na hili wala hutauliza maswali. Si lazima na wewe upitie wanawake kumi au wanaume kumi maana kwa jina lako haieleweki jinsia, utajua kwamba ni kitu kidogo. Kuwa kwake staa au celebrity kama wengine mnavyomchukulia haibadilishi dhana kuwa yeye ni binadamu. Tumeona ya firauni, hili la musa halinishangazi chochote kwa hiyo kijana shika adabu yako ukiongea na wakubwa.
 
muigizaji wa filamu hapa bongo, jacqueline pentezel ‘jack wa chuzi' ametoa kali ya mwaka baada ya kuamua kuanika idadi ya wanaume aliowahi kula nao urojo tangu awe supastaa.msanii huyo alifikia hatua hiyo alipokuwa katika mahojiano maalum na mwandishi wa global publisher na kutakiwa kutoa ufafanuzi wa juu ya taarifa zilizozaga kuwa, kuna mwanaume kajitokeza anataka kumchukua jumla jumla.katika kutoa ufafanuzi wake, jack alikiri kuwepo kwa mpango wa kutaka kuingia katika maisha ya ndoa na mwanaume aliyemtaja kwa jina moja la jojoz na kuweka wazi kuwa,huyo ni mwanaume wake wa

kumi katika maisha yake ya kimapenzi.
global publisher?
 
Cha ajabu nini? Mahusiano wakati wote ni trial and error. Mbona hatuhesabi wala hatusemi one night stands na wasichana wa kila aina wanaume mnaowabadilisha? Je tungeomba orodha ya wanawake uliyowahi kutembea na hawatazidi kumi?Heri ya huyu ambaye ni muwazi!
>BiMkubwa mie mwenzio bado katoto kadogooo hata mschana mmoja cjawah toka nae na hayo mambo hata cyajui nayasikiaga tu.
 
hakuna cha ukweli hapo....10 times 3= ? jibu hili ndio kidogo litaendana na ukweli..mwanamke au mwanaume yeyote anaetamka kwa mdomo wake idadi ya wapenzi aliowahi kutembea nao, unatakiwa uzidishe mara 3 then utapata figure inayoleta picha kamili, anaebisha na aendelee kubisha ila hiyo ndio reality.
Inawezekana kweli ni wanaume 10 lakini kalala nao 7 x 70 ambayo ni sawa na mara 4900. Kama ni gari basi milage yake itakuwa imeenda kishenzi nadhani oil zinavuja kila penye nafasi, na kama ni chewing gum utamu wote umeisha yaliyobaki utajiju
 
congratulations to the actress!..ninasema hivyo maana wasaniii wetu wengi wa wabongo especiaally girls filamu zao nyingi zinatueleza moja kwa moja ni kama mahali pa kutangaza soko la miili yao. kama unabisha chukua movie yoyote ya kibongo halafu itizame uone.
 
Hapo kwenye Bold, una uhakika gani?

Siku hizi, ukimuona Mtu, bila kujali jinsia, muulize kama ana BOY friend au GIRL friend.

Cha ajabu nini? Mahusiano wakati wote ni trial and error. Mbona hatuhesabi wala hatusemi one night stands na wasichana wa kila aina wanaume mnaowabadilisha? Je tungeomba orodha ya wanawake uliyowahi kutembea na hawatazidi kumi?
Heri ya huyu ambaye ni muwazi!
 
Inawezekana kweli ni wanaume 10 lakini kalala nao 7 x 70 ambayo ni sawa na mara 4900. Kama ni gari basi milage yake itakuwa imeenda kishenzi nadhani oil zinavuja kila penye nafasi, na kama ni chewing gum utamu wote umeisha yaliyobaki utajiju

Kweli kabisa!!
 
Back
Top Bottom