St. Francis Mbeya kuna siri gani?

Kwanza sipeleki mtoto huko, nampeleka kata hizo Hela namuwekea Kama mtaji, div 3 inatosha na Hela ya mtaji juu
una akili ndogo sana bro, hata wewe umeelimika kweli? acha kudanganya wenzako. unamwekea mtaji mtoto anayeenda kufeli, si usimpeleke kabisa umpe tu hiyo ada akaanze kuuza karanga barabarani mapema?
 
Hana hela huyo asikuchoshe...

#MaendeleoHayanaChama
 
una akili ndogo sana bro, hata wewe umeelimika kweli? acha kudanganya wenzako. unamwekea mtaji mtoto anayeenda kufeli, si usimpeleke kabisa umpe tu hiyo ada akaanze kuuza karanga barabarani mapema?

Shule za kata huwa wanafeli wote? Je Hakunaga wanaopata div 1, div 2 ama div 3 katika shule za kata ?
 
Wapo sana.shule moja hapa jirani ya kata Kuna watoto walipata l za 10,11na 12.mwaka uliopita😂😂😂😂😂
 
Kwa mbeya hata kitaifa shule zinazo fanya vizuri ni MASS (Mbeya Adventist Secondary School) hawa ndo washindani wa kwanza na st .Francis na hao girls wakizubaa wanaachwa na MASS kwa umbali mrefu mno

Ya pili ni NASS ndembela Adventist sec. School
 
Hakuna shule hapo.
 
Ingekuwa kwa wenzetu wangefanya follow up ya hao wanafunzi na ufaulu wao wa high school na University.

Inawezekana wanahifadhishwa na kwa vile masuali yanakuwa hayana tafauti na ya mwaka au miaka miwili iliyopita basi inakuwa rahisi kuweza kufundisha wanafunzi masuali ya matarajio.

Ijapokuwa ni Division 1 lakini hakuna hata normal distribution kwenye hiyo grade!
 
Normal distribution haiwezi kuwepo kama hakuna natural population
 
Back
Top Bottom