mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Muulize mbunge wako mkuu ya bungeni mengiWamerudishwa au wanatakiwa kurudishwa au wanaombewa kurudishwa?
Hawa UVCCM ni tabu tupuWamerudishwa au wanatakiwa kurudishwa au wanaombewa kurudishwa?
Mtoto hafundishwi kukata kiuno shule,anajifunza kwaoWaendele kuwakatisha watoto mauno tu huko shuleni
Hatujali
Ova
Ac ha Uongo hakuna mwalimu aliyesimamishwa kazi,.waliondolewa madaraka...ukuu wa Shule ! Jambo huna taarifa nalo Kwa Nini unakuwa na kimbelembele Cha kuanzisha Uzi!Walimu waliokuwa wamesimamishwa kazi kutokana na wanafunzi wa shule yao kucheza nyimbo ya haniiii ya msanii wa miondoko ya bongo flava zuchu warudishwa kazini hii ni kutokana na spika wa bunge kusema warejeshwe kazini na kupewa fursa ya kuhojiwa maana nyimbo waliokuwa wanacheza na wanafunzi haijafungiwa na basata
Binafsi nikahisi labda taarifa ya mwanzo sikuielewa.Ac ha Uongo hakuna mwalimu aliyesimamishwa kazi,.waliondolewa madaraka...ukuu wa Shule ! Jambo huna taarifa nalo Kwa Nini unakuwa na kimbelembele Cha kuanzisha Uzi!
Hakusoma vizuri chanzo kilichompa habari hii au hajui kuna tofauti kati ya kuondolewa madaraka/kushushwa cheo na kufukuzwa/ kuondolewa kaziniAc ha Uongo hakuna mwalimu aliyesimamishwa kazi,.waliondolewa madaraka...ukuu wa Shule ! Jambo huna taarifa nalo Kwa Nini unakuwa na kimbelembele Cha kuanzisha Uzi!