Spika: Sasa Lissu akiongea tutamjibu

Spika: Sasa Lissu akiongea tutamjibu

Serikali kupitia polisi haiitaji kutumia nguvu hata kdg ilhali mhanga mwenyewe anaweka kauzibe. Dereva kaondoka hapa kwa kutoroshwa na akina Lema, Kwanini?Yuko huko Belgium bila hati zozote za kusafiria toka Tanzania,nani alimfanyia mpango aende huko wakati anajua huyo dereva anatakiwa awe nyumbani kusaidia polisi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

..unakosea unapofikiri suala hili ni la Mh.Lissu peke yake.

..kukamatwa kwa waliomshambulia Mh.Lissu kuna maslahi kwa waTz wote.

..waliomshambulia Mh.Lissu ni watu hatari. Wasipotiwa nguvuni wanaweza kushambulia na wengine.

NB.

..kama dereva ametoroshwa, na Polisi wetu wanamhitaji, basi wanapaswa kuwasiliana na wenzao wa Ubelgiji ili kijana huyo arejeshwe nchini.
 
sista mbona kama kuna mtu anakupumulia kichogoni? veepeeee?
Najua kupumuliana ndio sera yenu huko Ufipa ndio maana kila mtu mnahisi anapumuliwa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
wamjibu nani sasa..suala hili mwenyejibu zuri ni Mbowe.na.dereva wao..tangu walivyomficha dereva basi watu wazimw tukang'amua kinachoendelea。。eti.dereva anasomeshwa na wazungu bachelors.degree......hahahahahaha wajinga ndio waliwao.。watabaki kuwa wajinga milele na milele
Unajua kichaa naye huona wazima ndo vichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Spika ndiye kiongozi wa wabunge wote.

..anapaswa kuwa mfano kwa anaowaongoza.
Kwa nini Lissu asiwe mfano kwa wenzake? Kwa nini chadema wasiwe mfano kwa kutoa ushirikiano tangu baada ya tukio? Why being one-sided in your analysis and judgment? Kwa nini wengine unawapa kinga/exemption ya kutokuwa mifano na kisha umlaumu speaker peke yake?
 
Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesema kuwa kwasasa kama Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akisema anapaswa kujibiwa kwakuwa inaonekana amepata nafuu/amepona.

Spika Ndugai amesema kuwa mwanzoni ilionekana si vyema kujibizana na aliyekuwa kitandani akijiuguza. Swali langu binafsi ni kuwa kumjibu Lissu hakutamfanya Lissu kusema zaidi na kuendeleza malumbano?
spika wa bunge ni binadamu muongo kuwahi kutokea, anaamini kwenye vitisho na mikwara mbuzi mbuzi. kwahiyo mtu akilipwa mshahara wake akiwa anaumwa unabadilika jina na kuwa pesa za matibabu? pumbavu hawa sijui walisoma shule gani
 
Wakimjibu Lissu basi Lissu atakua amefanikiwa maana kwenye kumjibu Lissu watajichanganya sana
 
It is on record that this Ndugai is one of the prime suspects in Tundu Lissu's assassination attempt and that's undisputable and this may be the reason behind his personal opprobrium against Mr.Lissu.

Now that the assassination plot has crumbled, the one Mr. Joab Ndugai, believed to have played the role of an accessory to the crime, needs to be thoroughly investigated by independent probe team together with other potential accomplices privy to the plot.

The future of Tanzanian rapport with
its development partners will largely depend on how Magufuli's regime will handle Tundu Lissu's case among other things.
 
..tuwe wakweli ndugu zangu.

..kama Polisi wangekuwa na nia ya kweli ya kumpata dereva wa TL basi wangewasiliana na wenzao wa Kenya au Ubelgiji ili dereva huyo ahojiwe au arejeshwe nchini.

..msifikiri suala hili lina maslahi kwa TL peke yake.

..hivi tuna uhakika gani kama waliomshambulia TL hawawezi kumshambulia mtu mwingine?
Mkuu na si hivyo tu, wachunguzi duniani hawaaangalii kitu kimoja. Kuna 'forensic exam'. Hakuna iliyofanyika

Hawa wanaouliza dereva wanaichekesha dunia! Yaani wachunguzi wa Tanzania wanamsubiri dereva
Hii ni kauli inatolewa 'kuziba' ombwe la hoja na nilikitika sana kumsikia Naibu waziri akiisema Bungeni

Wakati wanamsubiri dereva uchunguzi ungefanyika kwanini walinzi hawakuwepo siku ya tukio?
Ni nani anahusika na kuwapanga, kusimamia zamu? Je, amehojiwa kueleza nini kilitokea?
Wapi CCTV na kwanini zimeondolewa na nani anahusika kuziondoa na kwasababu zipi

Watu wanaotetea haya hawakumbuki kuwa ipo siku hali hiyo itaendelea na kuwa kawaida hadi majumbani kwao

Lakini pia watuambie, mbona ''dereva' anayesemekana kumbeba waliomteka Mo amepatikana?
Mbona tumeonyeshwa nyumba aliyokuwa anaishi?Mbona tuliletewa picha za magari yaliyohusika?

Ilikuwaje ''sauti'' za watekaji zikasikika na kusemwa si lafudhi ya kitanzania?

Kwakweli wachunguzi wa kimataifa wakisikia dereva anasubiriwa, huangaua vicheko
Wenzetu wana 'solve' kesi za miaka 35 sisi hatuwezi kumfikia dereva Nairobi au Ubelegiji!!!

Sasa suala si uchunguzi, Bunge ''limebeba jukumu'' hilo kupitia kauli za Spika.
 
Spika anakosa uvumilivu na hapo ndipo anajikuta anaongeza maswali yasiyo na majibu. Kuna vitu hawezi kujibu ni bora anyamaze maana muhusika anasema mil 207 ni mshahara na posho 43 ni michango ya wabunge wenzake. Jumla hiyo haikutolewa na serikali kwa maana ya ofisi ya bunge kwa akili ya matibabu yake.
 
Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesema kuwa kwasasa kama Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akisema anapaswa kujibiwa kwakuwa inaonekana amepata nafuu/amepona.

Spika Ndugai amesema kuwa mwanzoni ilionekana si vyema kujibizana na aliyekuwa kitandani akijiuguza. Swali langu binafsi ni kuwa kumjibu Lissu hakutamfanya Lissu kusema zaidi na kuendeleza malumbano?
Ni lazima kumkabili huyu kibaraka sasa. Anasema uongo mwingi na kutia chumvi mengi. Ni hatari huyu mgalilaya anajua vema anachokifanya..anatumikia ubeberu kwa vipande vya fedha.
 
Lissu hata wewe hauwezi kumsaidia! ila angekuwa professor J angesaidiwa

unatukana watu wanaopaswa kukusaidia?

mkuu hawakupitia procedures za kawaida na waligoma, ananyooshwa na nobody cares mkuu

mwanzoni, tukubali kabisa kuwa CDM walilibeba kama lao, waka ignore utaratibu wa kawaida kabisa. halafu leo ndio inakuwa fimbo. hakuna anayejali, hakuna anayetetemeka kwa lolote

Wewe nimmoja wa wajinga tuu ambayo kutumia akili ni mwiko... mtu anavuja damu badala ya kumwokoa uanze kumzungusha mahospital. nawashukuru sana CDM wakiongozwa na Mh. sana F. Mbowe. nia ilikuwa kumwokoa Mungu ni mwema amemwokoa pamoja na juhudi za madaktari.

Kiuhalisia ninyi na wauaji wenzako mlikosea sana.
Hapa mlitakiwa mjipendekeze haswa kuanzia matibabu na hata kuongoza taifa sala kwa ajili ya kumwombea Tundu Lissu apone, eti unaitukana serikali, hizo hela zinatoka mfukoni mwao na sio kodi zetu? hapo ingekuwa hiyo hela anaitoa mfukoni kwa huyo Ndugai na Magu hapo sawa ni hela yetu sote, hata huyo Tundu lissu ana mchango wa jasho lake pale na isitoshe, raia wema wanachanga na watachanga na hatakaa alale njaa wala kufa njaa. ninye mkae na intaprenyuaaaa wenu ambaye hafikrii
 
Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesema kuwa kwasasa kama Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akisema anapaswa kujibiwa kwakuwa inaonekana amepata nafuu/amepona.

Spika Ndugai amesema kuwa mwanzoni ilionekana si vyema kujibizana na aliyekuwa kitandani akijiuguza. Swali langu binafsi ni kuwa kumjibu Lissu hakutamfanya Lissu kusema zaidi na kuendeleza malumbano?
TWO DIFFERENT PLATFORMS INTERNATIONAL VS LOCAL
 
wamjibu nani sasa..suala hili mwenyejibu zuri ni Mbowe.na.dereva wao..tangu walivyomficha dereva basi watu wazimw tukang'amua kinachoendelea。。eti.dereva anasomeshwa na wazungu bachelors.degree......hahahahahaha wajinga ndio waliwao.。watabaki kuwa wajinga milele na milele

Kwa triki aliyoitumia risasi zaidi ya 30 isimpate hata moja... anastahili kuwa hata mkuu wa kikosi maalumu cha uokoaji. kwa Tanzania ni ngumu sana kuweza kufahamu hili
 
Lissu hata wewe hauwezi kumsaidia! ila angekuwa professor J angesaidiwa

unatukana watu wanaopaswa kukusaidia?

mkuu hawakupitia procedures za kawaida na waligoma, ananyooshwa na nobody cares mkuu

mwanzoni, tukubali kabisa kuwa CDM walilibeba kama lao, waka ignore utaratibu wa kawaida kabisa. halafu leo ndio inakuwa fimbo. hakuna anayejali, hakuna anayetetemeka kwa lolote
Yaani TL angepelekwa kwanza muhimbili !mitungi ya oxygen tu ya kukwapuana.utakuwa unatania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema walihijack process kwa interest ya kisiasa. Wskawa wanaoishana na kutanua tu kwenye five star hotels Nairobi. Kina Lema na Msigwa na genge lao wakanona na kunawiri. Lissu akaitukana serikaa li. Sasa hapo busara IPI itumike?
kwenye hiyo hotel ya five star kuna wakati uliwapa hela ya kulipa huko? Shida nchi imekaliwa na mshamba na huyo mshamba waliozunguka ndio washamba zaidi..

Lema, Msigwa kwenda Nairobi kunakuuma nini? Mbona Nyalandu alienda na kurudi akajiuzulu ubunge na stahiki zote na bado akawa anakwenda shida ni ushamba umekukaa pamoja na jiwe ukiona mtu anafuraha wewe unakasirika
 
Back
Top Bottom