Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,687
- 3,407
Amepona!!!! Akitibiwa na nani!!??? Bunge limefurahi kupona kwa Lissu bila kumpa gharama za matibabu!!?? Sasa unaanza kumjibu mtu ambaye hujamtibu!!??Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesema kuwa kwasasa kama Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akisema anapaswa kujibiwa kwakuwa inaonekana amepata nafuu/amepona.
Spika Ndugai amesema kuwa mwanzoni ilionekana si vyema kujibizana na aliyekuwa kitandani akijiuguza. Swali langu binafsi ni kuwa kumjibu Lissu hakutamfanya Lissu kusema zaidi na kuendeleza malumbano?
Sent using Jamii Forums mobile app