VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Nimekusoma katikati ya mistari, ubarikiwe sana popote ulipo.”Kuwalazimisha akina Halima kuwa Wabunge 'wa upinzani' si sawa hata kidogo. Spika ulizungumzia utaratibu kama ulifuatwa au la ndani ya chama chao kuwafukuza uanachama. Ulijiridhisha kuhusu taratibu kama zilifuatwa katika kupatikana na kuteuliwa kwao? ”
Supika alisema na akakiri yuko na faili lake MilembeKuwalazimisha akina Halima kuwa Wabunge 'wa upinzani' si sawa hata kidogo. Spika ulizungumzia utaratibu kama ulifuatwa au la ndani ya chama chao kuwafukuza uanachama. Ulijiridhisha kuhusu taratibu kama zilifuatwa katika kupatikana na kuteuliwa kwao? Hata kama unaona haya kwa kuwateua na kuwaapisha katika mkanganyiko na mgagaziko, muda wa kurekebisha bado unao. Ukiwaondoa Bungeni, macho yao yatalia ila mioyo yao itacheka.
Siyo kweli wao ndiyo wanataka waendelee kubebwa... mbona rahisi sana; wajiuzulu ubunge! As simple as that wanakuwa huru!
... hapo sawa!Siyo kweli wao ndiyo wanataka waendelee kubebwa
Ndiyo mkuu... hapo sawa!
Ujinga ujinga mbele kwa mbeleLema na Lisu lini mnarudi Tanzania?
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.
Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.
Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
Mwangalieni na huyuLema na Lisu lini mnarudi Tanzania?

Ukweli Ndugai amekosea , na sasa kwa sababu wameshajitungia sheria ya kutokushtakiwa, basi anachofanya ni ulevi na ubabe wa madaraka.Hili move lote la kichina liliasisiwa pale Lumumba, likapata baraka zote na Mwendazake pamoja na Spika - sasa Spika anaona kuwatema ni kumsaliti mwendazake !! patamu hapo.
Ila ningekuwa mimi ni mwana Covid-19, ningemtafuta Maza fasta nikamwambia kinaga ubaga mwanzo mwisho yaani episode lote namtemea then namwaga manyanga!! hela si kila kitu hapa duniani kuliko heshima na utu. Ni lazima umtafute maza ili ukishautema ubunge wao kesho na keshokutwa wasikusumbue sumbue kwamba hujalipa kodi tangu Uhuru wakati wewe umezaliwa miaka ya themanini, au umejenga nyumba kwenye chemchem.
Halima alijijengea heshima kubwa sana nchini Tanzania, sidhani kuna mtoto wa miaka 5 hadi mzee wa miaka 100 Tanzania ambaye hamjui Halima. Sasa yote hayo yateketee kweli kisa tu kumfurahisha mwendazake na kundi lake dogo... hapana hapana. Halima tapika hilo kitu nafsi yako iwe huru..