Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 380
Ndugai sio wa kumwamini, anafuata maelekezo kutoka juuSpika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano, Job Ndungai umenena. Ni lazima Wabunge wafunguke, wachangie na wasiwe watu wa kuunga tu mkono kila jambo. Msipotimiza wajibu wenu kama Wabunge, lazima lawama hizi mzibebe tu, hazikwepeki.Tumekuelewa na hii ndio taswira.Kwa hili nakupa HEKO
ku pre-empty sijakupata, shule kidogo please... how?Huenda ni tactic ya kupre-empty wabunge wa Upinzani..
It's a Good Political move.
Ifike mahali Siasa ziwe za Kushindana kwa hoja na siyo Vijembe.
Umestuka mapema wasije wakakufanya kama walivyomfany romaAiseeeeh,
Ngoja kwanza nijihoji cha kuandika la sivyo mmmmmh, Nissan Nyeupe inaweza ikafanya ziara mtaani kwetu.
Simwamini hata chembe, nyie wabunge wa ccm fungukeni tu mkutane na nissan nyeupe
Wanatafutwa watu wa kuwafukuza ndio lengo lao, Ndugai anataka apate list ya wabunge wa ccm ili ikifika muda wawafukuze ndio mpango, Viherehere watafukuzwaNimependa kauli yake "...sio mkakubali tu" haya ni mambo ya msingi ya Kitaifa ili "wasikie".