Spika Ndugai: Wabunge fungukeni, acheni kuunga tu mkono kila kitu

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
348
380
Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano, Job Ndungai umenena. Ni lazima Wabunge wafunguke, wachangie na wasiwe watu wa kuunga tu mkono kila jambo. Msipotimiza wajibu wenu kama Wabunge, lazima lawama hizi mzibebe tu, hazikwepeki.Tumekuelewa na hii ndio taswira.Kwa hili nakupa HEKO

Aiseeeeh,

Ngoja kwanza nijihoji cha kuandika la sivyo mmmmmh, Nissan Nyeupe inaweza ikafanya ziara mtaani kwetu.
 
Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano, Job Ndungai umenena. Ni lazima Wabunge wafunguke, wachangie na wasiwe watu wa kuunga tu mkono kila jambo. Msipotimiza wajibu wenu kama Wabunge, lazima lawama hizi mzibebe tu, hazikwepeki.Tumekuelewa na hii ndio taswira.Kwa hili nakupa HEKO

Ndugai sio wa kumwamini, anafuata maelekezo kutoka juu
 
Huenda ni tactic ya kupre-empty wabunge wa Upinzani..

It's a Good Political move.

Ifike mahali Siasa ziwe za Kushindana kwa hoja na siyo Vijembe.
ku pre-empty sijakupata, shule kidogo please... how?
 
Nimependa kauli yake "...sio mkakubali tu" haya ni mambo ya msingi ya Kitaifa ili "wasikie".
 
Nadhani bado hawajaitwa kwenye Party caucus!

Bunge ni chombo cha heshima Sana, halipaswi kufungwa na minyororo ya kiitikadi au kushawishiwa na Chama kisiisimamie ipasavyo serikali
 
dwarf king kilaakipita kwenye social media anakutana na mitusi kwake
ana njaa sana huyu kijeba,akipokea kimemo kutoka magogoni atabadili kauli yake haraka
again,it's too late,tumesham-mark kuwa ni adui wa demokrasia na maendeleo
 
Nimependa kauli yake "...sio mkakubali tu" haya ni mambo ya msingi ya Kitaifa ili "wasikie".
Wanatafutwa watu wa kuwafukuza ndio lengo lao, Ndugai anataka apate list ya wabunge wa ccm ili ikifika muda wawafukuze ndio mpango, Viherehere watafukuzwa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom