Kwanza hiyo ni hotuba ya kambi ya upinzani, kwanini yeye anataka iwe anavotaka yeye kwani yeye si ni kada wa chama tawala kwanini asitumie muda wake kusahihisha hotuba ya chama chake akaacha hotuba ya wapinzani ikasahihishwa na wapinzani.
Kwanza ufike wakati hata hizo hotuba za wapinzani kama haziwezi kuwasilishwa kama wanavyotaka wapinzani ziondolewe kwenye taratibu za bunge wao wasubiri watakapochukuwa nchi ndo wawasilishe hotuba zao kuliko hiyo mivutano ya kila mwaka ambayo inawapotezea muda wanaandaa halafu haisomwi kwaninni wasibadilishe tu huo utaratibu ukafutiliwa mbali.