Spika Ndugai ana personality disorder?

Ndugai hafai kua kiongozi ana jazba. Ajifunze japo hata kwa mzee chenge ni mtulivu sana anapoongoza bunge.
 
Dragon rejea tafsiri ya mtoa mada maana ya personality disorder ndiyo uchangie kumbuka huyu jamaa aliwahi mtwisha mpinzani wake rungu mpaka akazimia kwa hekima ya Mwenyezi MUNGU hakustahili nafasi hiyo.
 
Kuna makabila ambayo hayafai kupewa nafasi za juu za uongozi, awamu ya tano imethibisha hilo
 
Kufanya mjadala na mtu anayejitoa ufahamu inakera nani upetezaji wa muda usiovumilika.
Ni bora sana mbumbumbu wa kisiasa anapokuacha uwe huru pasi kusikia matapishi yake
 
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
P
 
Mdee alisema HUYU SPIKA NI FALA

Mdee alisema kitendo cha kuchaguliwa na mtu au watu wengine ndio ufala. Ilo mnaona kosa. Alafu mbunge anamtukana waziri kivuli tena kwajina " mnyika ni mwizi" alafu spika anamsifia anayetukana na anajifanya asikilizi maneno ya pembeni wakati hata mdee alikuwa anaongea maneno ya pembeni.
CCM mnajizalilisha bungeni. Mmezuia bunge mubashara lakini bado watanzania wanauona unafiki wenu. Mara rambirambi mara kuchangulia watu mahali pakumuaga marehemu. Mmesha changanyikiwa
 
hayo yote umeyalenga kwangu nijibu mimi au kwa CCM tumsubiri msemaji wake labda atakuja hapa akujibu
 
Spika alitakuwa awe Chenge. Huyu wa sasa ni kichaa
 
Chenge pamoja na matatizo yake mengine is the only mature mbunge kuwa speaker kwa upande wa ccm! Huu ni ukweli. Kwanza mtu aliyewahi kumpiga mtu anakuwaje spika badala ya kuwa jela?
 
Spika ana double standards. Ona wa South africa alivyo na style!
 
You are not a critical thinker. Most likely spika ni mtu asiyeweza kuzuia hasira kitu ambacho ni kibaya sana kwa kiongozi ye yote. Wako wazazi ambao kwa kukosa kuzuoa hasira wamwjikuta wakiwapiga watoto wao wa kuwazaa hadi kuwaua.
 
Spika alitakuwa awe Chenge. Huyu wa sasa ni kichaa
India alikuwa anatibiwa nini? Alirudi akiwa na busara kiasi. Sasa hivi mashavu yamerudi amesahau....
Yeye akiwa anaumwa busara inakuwepo na akipona kiburi kinaongezeka. Au alipoumwa alikiona kiti cha hukumu? Tutamuombea hali mojawapo.
 
You are not a critical thinker. Most likely spika ni mtu asiyeweza kuzuia hasira kitu ambacho ni kibaya sana kwa kiongozi ye yote. Wako wazazi ambao kwa kukosa kuzuoa hasira wamwjikuta wakiwapiga watoto wao wa kuwazaa hadi kuwaua.
kamwe hatutaruhusu kiti cha spika kidharauliwe. Najua ninyi ni watu wa kupinga kila kitu, pingeni tu
 
kamwe hatutaruhusu kiti cha spika kidharauliwe. Najua ninyi ni watu wa kupinga kila kitu, pingeni tu
Mwambieni ajifunze kutoka kwa maspika wengine jinsi ya kuongoza bunge. Kwa hiyo unaona ilikuwa sahihi kumwambia Lusinde ni kiboko yao? Uspika gani huu ambao uko one-sided?
 
Mwambieni ajifunze kutoka kwa maspika wengine jinsi ya kuongoza bunge. Kwa hiyo unaona ilikuwa sahihi kumwambia Lusinde ni kiboko yao? Uspika gani huu ambao uko one-sided?
Mabunge yaliyopita hayakuwa na wabunge mbumbumbu namna hii.
Kweli Lusinde ni kiboko yao kwa sababu alifanikiwa kuwatoa nyumbu nje ya jengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…