Hatimaye umekuja kwenye angle,ningejua toka mwanzo kuwa wewe mwana lumumba nisingepoteza muda kufanya mjadala!Ongea yote hadi ya chumbani kwako. Uzuri sisi tunajiamini na hatuna mihemko ya kisiasa
Wewe huelewi maana ya SISI. tena ni aibu kutofanya mjadala na mtu kisa ni wa itikadi flani, ni udhaifu wa hali ya juu unaopelekea taifa letu pendwa kuonekana taifa la mbumbumbuHatimaye umekuja kwenye angle,ningejua toka mwanzo kuwa wewe mwana lumumba nisingepoteza muda kufanya mjadala!
Yawezekana akili unazo ila unajitoa fahamu au huna fahamu lakini unajitia una akili.Hapa kuna kudharaulika kiti cha spika. Spika ni mtu mkubwa saba katika hii nchi, anashikilia moja ya mihimili mitatu ya dola. Hata kama wewe ni mpinzani na kuna kitu kimekukera heshimu tu kiti cha spika. Kiti cha spika kikiheshimika hata anayekalia kiti hicho atajiheshimu. Linganisha na enzi za Pius Msekwa na Samuel Sitta, kiti cha spika kiliheshimika na spika hakuwa na tatizo na wabunge. leo hii mtu anatukana mubashara bungeni eti spika ni fala au sijui nini... Mara mwingine anakataa kutii amri ya spika mwenye mamlaka yake unategemea nini? Spika nae ni mtu na ana mihemuko yake, lazima afure pale kiti chake kinapodharauliwa. Kwa Suala la Mnyika juzi hekima tu ingetumika. Mnyika angekaa tu kimya kama alivyoamriwa wala asingetakiwa kutoka nje. Tena pale amri ya kutoka nje angejongea mwenyewe nje nani angemgusa? Angeonesha ana hekima na kila mtu angekuwa upande wake. Lakini kwa sasa mtu yeyote anayemtetea mnyika ni kwa sababu tu ya mihemukio ya kisiasa, kiukweli mnyika alidharau kiti cha spika.
Hilo ni bunge linaloendeshwa na serikali.Ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. usirudie kukosea tena wala usipotoshe watoto wetu
Wewe huelewi maana ya SISI. tena ni aibu kutofanya mjadala na mtu kisa ni wa itikadi flani, ni udhaifu wa hali ya juu unaopelekea taifa letu pendwa kuonekana taifa la mbumbumbu
Wewe ukiwa mkuu wa kaya/familia halafu atokee mtoto aseme baba fala na mtoto mwingine amwite mtoto mwenzake mwizi, je utalinganisha kauli hizo? suala la spika kuitwa fala ni jingine, na la mnyika kuitwa mwizi ni jingine. Tena spika ana hekima sana, Kuitwa fala? Wapinzani hamna shukrani kabisa, ingekuwa ni mimi ndie spika aliyeniita fala asingekuwa mbunge maisha yake yote
Twende vizuri tu, acha lugha zisizofaa. Spika alikuwa wa kwanza kuintertain malumbano kwa kusema maneno ya kumsifia mtukanaji mmoja.Yawezekana akili unazo ila unajitoa fahamu au huna fahamu lakini unajitia una akili.
Pius Msekwa na Samwel Sitta waliheshimika na sio kwamba kiti kiliheshimika. SPIKA NDIO KITI. Heshima hujengwa na spika kwa matendo yake na namna anavyodeal na matatizo yaliyo mbele yake.
Haki ndio huleta heshima na usawa. Ni spika ndio alikuwa wakwanza kuintertain malumbano kwa kusema maneno ya kumsifia mtukanaji mmoja. Amsha akili yako. Hata wewe ukikosa haki, watoto wako mwenyewe uliowazaa watakufanyia ukaidi.
Huo ni ufahamu na utashi wakoHilo ni bunge linaloendeshwa na serikali.
Tatizo lenu mmezoea kupelekeshana tu kama Nyumbu. si kila unachokiamini wewe na mwingine amini, tena bila hoja yoyote ya msingiUtafanyaje mjadala na mtu ambaye ameamua kuweka akili zake mfukoni?
Nimeomba kufahamishwa kosa alilofanya spika hamtaki kulioneshaKwahiyo hoja yako kosa ni akifanyiwa spika ila akifanyiwa mbunge mwingine sio kosa. Hoja yako hapo juu ndio maana halisi ya unafiki. Kama unafanya hilo kwa watoto wako watakuwa wanakuzarau ila hujui tuu.
Sina mihemko. siku zote nasimama kwenye ukweli. Siko kwenye itikadi ya chama chochote hapa tz lakini sisiti kupinga chama chochote kinachoenda kinyume na misingi ya kitaifaPole sana,kama bado hujawa zwazwa moja kwa moja,take a moment,think clearly na utaona toka mwanzo umeendeshwa na mihemko!Nimechelewa kuligundua hilo
Nimeomba kufahamishwa kosa alilofanya spika hamtaki kulionesha
Mdee alisema HUYU SPIKA NI FALANaomba kufahamishwa kosa alilofanya Mdee aliposema CHADEMA kupangiwa wagombea wa EALA na CCM ni ufala.
Kufanya mjadala na mtu anayejitoa ufahamu inakera nani upetezaji wa muda usiovumilika.Wewe huelewi maana ya SISI. tena ni aibu kutofanya mjadala na mtu kisa ni wa itikadi flani, ni udhaifu wa hali ya juu unaopelekea taifa letu pendwa kuonekana taifa la mbumbumbu
Wewe huelewi maana ya SISI. tena ni aibu kutofanya mjadala na mtu kisa ni wa itikadi flani, ni udhaifu wa hali ya juu unaopelekea taifa letu pendwa kuonekana taifa la mbumbumbu
Nisaidie wapi umewahi kumkosoa JPM,niwekee link tu nitaamini maneno yako!Sina mihemko. siku zote nasimama kwenye ukweli. Siko kwenye itikadi ya chama chochote hapa tz lakini sisiti kupinga chama chochote kinachoenda kinyume na misingi ya kitaifa